kufungwa kwa kukataa kuhesabiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kufungwa kwa kukataa kuhesabiwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Makene, Aug 5, 2012.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Je ni sheria gani inayotoa mamlaka kwa mahakama kutoa adhabu ya kifungo kwa mtu aliyekataa kuhesabiwa sensa kama mkuu mmoja wa wilaya alivyosema kwa kuonya raia kutosusia zoezi la kuhesabu watu?
   
Loading...