Kufunguliwa kwa vyuo na shule zote

Hakuna lililo na mwanzo lisilo na mwisho

Mi japo korona ni hatari Ila Mimi sio Kama ni kitu kipya

Ni pattern ile ile ya matukio ya ulimwengu yanayojirudia Miaka kwa Miaka

Huku nyuma zamani sana dunia iliwahi kumbwa na magonjwa Aina plague za Aina mbali mbali zilipita dunia ikabaki na watu wake

So the pattern au historia inajirudia so nothing new labda new virus but it can't wipe the entire human kind

So tupambana tu kadri ya uwezo wetu kulingana naushauri wa madaktari na tuwaonbe walio maabara wafanikishe chanjo na matibabu ya huu ugonjwa upite dunia iendelee

Aluta continua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea Ko na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1.kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2.kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa balakoa
3.kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4.kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1.ujinga
2.maradhi
3.umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo la kufunga hizo sehemu zenye mikusanyiko kama mashule na mfano wake ni kupunguza kasi ya maambukizi.
Nadhani tunafahamu kasi ya wanaopona ni ndogo ukilinganisha na kasi ya kupata maambukizi,so kama tutaruhusu mikusnyiko kasi ya maambukizi itakuwa kubwa na mwishowe kuwa na wagonjwa wengi ambao tutashindwa kuwadhibiti.
 
Si ndio hapo sasa! Kuna mshkaji wa my friend kamaliza chuo amekosa ajira, sasa anatafuta hata kuchunga ng'ombe...
Upumbavu, mkubwa nani kakwambia umuhimu wa elimu ni kupata ajira huu Ndo ujinga ambao taifa inabidi upambane nao,

Inatakiwa umsaidie kimawazo apambane vp na changamoto za maisha zinazoikabili jamii ili imzalishie kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la kufunga hizo sehemu zenye mikusanyiko kama mashule na mfano wake ni kupunguza kasi ya maambukizi.
Nadhani tunafahamu kasi ya wanaopona ni ndogo ukilinganisha na kasi ya kupata maambukizi,so kama tutaruhusu mikusnyiko kasi ya maambukizi itakuwa kubwa na mwishowe kuwa na wagonjwa wengi ambao tutashindwa kuwadhibiti.
Makanisani, masokoni, mitaani, misikitini awakusanyiki mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu, poleni na mapambano ya corona virus. Aisee nimefikiria Sana matatizo yanayoletwa na ugonjwa wa Covid 19 ikiwamo mtikisiko wa kiuchumi na kusimama Kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Ushauri wangu kwa serikali ni ufungue shule na vyuo ifikapo may 1. Kwa sababu zifuatazo.

1. Je ugonjwa usipo isha Kwa miaka 100 itakuaje.
2.shughuli zingine zinaendelea kwa hiyo na shughuli za elimu ziendelee
3. Mikusanyiko ya watoto mitaani ni kama shule

MIKAKATI YA KUCHUKUA
1. Kutoa elimu Kwa wanafunzi Jinsi ya kujikinga
2. Kuhakikisha kila mwanafunzi anavaa balakoa
3. Kuhakikisha wanafunzi awajazani madarasani
4. Kwa wanachuo ata online study itakua vzr

Tukumbuke taifa Lina maadui watatu
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini

Tukikomalia kimoja mengine yatatushinda,
Ayo ni maoni yangu mwana jamii forum una maoni gani. Juu ya hiliView attachment 1429305

Sent using Jamii Forums mobile app

Usitarajie shule zifunguliwe wakati nyumba za ibada zimeanza kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom