Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Kwanza unalinganisha nchi tofauti kabisa China ya Xiaping na Tanzania ya Samia, hilo ni kosa lakwanza linaloonyesha hujui mlinganisho hata kabla ya kuzungumzia mengine.China chini ya Deng Xiaoping alifungulia nchi, huku ndiko mama anavyomaanisha.
Kuondoa vikwazo vya kipuuzi vya kuleta investment na kuondoa urasimu kwenye kuanzisha business.
Sasa kufungulia nchi na kuomba mbona haviendani naona mko busy kutwist maneno yake na kuyafanyia spinning ili kupotosha!
So far do good, Nchi inaenda vizuri vhini ya mama Samia, kafanya kazi nzuri sana kwenye siku zake 50 za kushika usukani, aneonyesha njia nzuri mno
Huu ni wakati mbaya sana kwa MATAGA kama wewe na kundi lako la sukuma gang.1. Huogopi kuitwa MATAGA?
2. Wewe ni Sukuma Gang!
3. Utaambiwa unamchukia Mama.
4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
China chini ya Deng Xiaoping alifungulia nchi, huku ndiko mama anavyomaanisha.
Kuondoa vikwazo vya kipuuzi vya kuleta investment na kuondoa urasimu kwenye kuanzisha business.
Sasa kufungulia nchi na kuomba mbona haviendani naona mko busy kutwist maneno yake na kuyafanyia spinning ili kupotosha!
So far so good, Nchi inaenda vizuri vhini ya mama Samia, kafanya kazi nzuri sana kwenye siku zake 50 za kushika usukani, aneonyesha njia nzuri mno
Jiwe aliamua kuwakorofisha majirani zetu na kuamua kuishi kama tupo kisiwani maana majirani zetu nao waliona isiwe tabu wakatufungia viooNi vyema kwanza tukajadili tafsiri ya kufungua nchi...nini maana ya kufungua nchi...na kwanini Mama anasema anafungua nchi..
Unyonge Unyonge sasa basi.Inawezekana wakati mama anaenda kufungulia nchi anaweza kufungulia hizi hisia za kutukuza na kukumbushana juu ya kile kinachoitwa umaskini wetu? Tunatakiwa kutokujaribu au kuthubutu kufanya makubwa kwa sababu sisi ni masikini? Ndio mwanzo wa kuanza kuombaomba tena...maskini wa fikra hatajiriki na hawezi kutoka kwenye umaskini ambao anaamini unamnufaisha. Inanikumbusha kile kisa cha"Mtumwa Mpendwa" aliyefurahia kupendelewa na bwana wake hadi siku ile yule bwana alipokufa...
Mama ana kazi na kibarua kigumu..maana hata kufoka hawezi na akiwabwatukia watalia hawa kama watoto waliodekezwa, wakadeka, na kudekeka..mtaa mzima utawasikia...na hawanyamazi hadi wapewe "fanta"
Sijui kwanini Wasukuma wana mambo ya kishamba kiasi hiki, Huyu Jamaa alikua kutwa kucha kumsifia Magufuli! Anashindwa kabisa kuzuia hisia zake na haamini kuwa Magufuli amekufa.Sasa kufungulia nchi na kuomba mbona haviendani naona mko busy kutwist maneno yake na kuyafanyia spinning ili kupotosha