Kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel

noel92

New Member
Jun 3, 2014
1
2
Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti.

Pamoja na hilo kuwe na retail shop ya vifaa vya aina hizo. Yaani kuwe na workshop na materials ziwe zinapatikana hapo kwa wateja wadogo wadogo.

Je, mtaji kiasi gani unahitaji ili kufungua workshop? Kuhusu retail shop hilo sio issue coz linaweza kuanza taratibu.

Vifaa gani vinatakiwa kwa ajili ya aluminium pamoja na steel work?

Materials Kwa bei za jumla, ambazo ni nzuri zinapatikana wapi kwa jiji la Dar?

Wajuvi naomba mawazo yenu hapa.
 
Hii biashara pia nipo naifuatilia kwa karibu na nilishapita sana madukan kkoo kuulizia.

Na bei za jumla pia nazijua ,ila jamaa wakanishauri kutafuta location nzuri

Na mtaji wa mil 20 na kuendelea
 
Mmmmmmhmn 20 million?!
 
Hii biashara pia nipo naifuatilia kwa karibu na nilishapita sana madukan kkoo kuulizia.

Na bei za jumla pia nazijua ,ila jamaa wakanishauri kutafuta location nzuri

Na mtaji wa mil 20 na kuendelea
Unless kama utakuwa unauza na materials yani aluminium profiles otherwise kama ni workshop tu vifaa unanunua kwa wauzaji hata chini ya mils 5 unafungua.
Nasema kwa experience yangu maana nishawahi ifanya hii biashara ila niliachana nayo nikamwachia ndugu yangu aiendeleze
 
Je ni lazima uwe fundi ndio ufungue hii biashara?
 
Hapana mimi sikuwa fundi kabisa ila nilijifunza kupima na kufanya hesabu ya gharama, so nlikuwa zaidi kwenye marketing na finance.
Sikuwa fundi ila baada ya muda nilikuwa najua kila kitu nikatengeneza hadi spread sheets kwenye excel nikifeed tu vipimo nampa mteja gharama na zinanipa materials zinazohitajika kutengeneza hiyo kazi.
By the way nliachana nayo 2018 so ni muda
 
mtaji unaweza kuwa bei gani na ni vitu gani muhimu kuwa navyo?
 
Sasa nakwambia zama hizo.
Nilinunua mashine ya makita ile inayokata hadi profiles za cm 8, maana ndogo mara nyng hazikati zaidi ya cm 6 ndio maana wanazitumia kukata angle mara nyingi nakumbuka kipindi hicho nilinunuaga nadhan milion 1.6 au .8 sikumbuki na sasa hivi bila shaka zitakuwa zimeshuka.
Nikanunua drill now bei chee ila nilinunua makita ilikuwa 150k, screw drivers na vitu vingine kama vya kukata vioo n.k na madhine ya rivert havizid hata lak 2. Inahitaji meza ya kukatia profiles na meza ya kuunganishia hayo madirisha. Jumla hafi na frem haikufika hata mls 4. Kazi ya kwanza nlipata faida ya lak 6, ya pili nikapga faidi ya mls kama 2.6 ya tatu ilikuwa ina faida kubwa kinoma maana yalikuwa madirisha ya mradi wa tanapa yalikuwa madirisha zaidi ya 130
 
Sasa nakwambia zama hizo.
Nilinunua mashine ya makita ile inayokata hadi profiles za cm 10, maana ndogo mara nyng hazikati zaidi ya cm 8 ndio maana wanazitumia kukata angle mara nyingi nakumbuka kipindi hicho nilinunuaga nadhan milion 1.6 au .8 sikumbuki na sasa hivi bila shaka zitakuwa zimeshuka.
Nikanunua drill now bei chee ila nilinunua makita ilikuwa 150k, screw drivers na vitu vingine kama vya kukata vioo n.k na madhine ya rivert havizid hata lak 2. Inahitaji meza ya kukatia profiles na meza ya kuunganishia hayo madirisha. Jumla hafi na frem haikufika hata mls 4. Kazi ya kwanza nlipata faida ya lak 6, ya pili nikapga faidi ya mls kama 2.6 ya tatu ilikuwa ina faida kubwa kinoma maana yalikuwa madirisha ya mradi wa tanapa yalikuwa madirisha zaidi ya 130
Mbona uliachana nayo kaka wakati inaonyesha kulikua na progression na room ya kutengeneza zaidi pesa
 
Nlikuwa natanga tanga tu nashika vitu na kuacha na faida yote nakula badala ya kupanua biashara. Ni ulofa tu sina sababu ya maana. Sema kipindi hicho ilikuwa na faida sana sio kama sasa maana profiles zilikuwa cheap na sqm tulikuwa twapga 110k hadi 130k tofauti na sasa
 
Hapana mimi sikuwa fundi kabisa ila nilijifunza kupima na kufanya hesabu ya gharama, so nlikuwa zaidi kwenye marketing na finance.
Sikuwa fundi ila baada ya muda nilikuwa najua kila kitu nikatengeneza hadi spread sheets kwenye excel nikifeed tu vipimo nampa mteja gharama na zinanipa materials zinazohitajika kutengeneza hiyo kazi.
By the way nliachana nayo 2018 so ni muda
Mkuu, naomba hiyo template ya excel ambayo ulikuwa unaitumia.. Natanguliza shukrani.
 
Mkuu sina tena ni zamani nmeachana na hii biashara nliifanya kwa miaka 2 tu, sikumbuki nliachana nayo ramsi mwishoni mwa 2017 au mwanzon mwa 2018 sikumbuki vzuri.
Na template nlikuwa nimeitengeneza mwenyewe kwa kutumia hesabu za kukadieia materials ambazo kwa sasa nishazisahau.
Kuna formula ya kukadiria materials hata idadi ya sheet za vioo
 
Hakuna shaka..
 
Nlikuwa natanga tanga tu nashika vitu na kuacha na faida yote nakula badala ya kupanua biashara. Ni ulofa tu sina sababu ya maana. Sema kipindi hicho ilikuwa na faida sana sio kama sasa maana profiles zilikuwa cheap na sqm tulikuwa twapga 110k hadi 130k tofauti na sasa
Aah ok sawa sawa mkuu
 
Mkuu sina tena ni zamani nmeachana na hii biashara nliifanya kwa miaka 2 tu, sikumbuki nliachana nayo ramsi mwishoni mwa 2017 au mwanzon mwa 2018 sikumbuki vzuri.
Na template nlikuwa nimeitengeneza mwenyewe kwa kutumia hesabu za kukadieia materials ambazo kwa sasa nishazisahau.
Kuna formula ya kukadiria materials hata idadi ya sheet za vioo
Uliwahi nisaidia namba ha ndugu yako akanipigia hesabu zikaenda vizuri sana japo muda wa kutekeleza mradi gharama zikawa juu sana maana vifaa vilipanda bei. Kioo cha 55, kikauzwa 80
 
Yah mkuu anaendelea mpaka leo. Vioo vilikuwa 48000, 63000 kwa 73000 ila kuna vipindi vikaruka hadi 180000 japo vimeshuka ila havijawah kurudi bei ya awali
 
Ndugu yako yuko hapa Dar Mkuu?
 
Back
Top Bottom