Kufunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya

Kufunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya

Kama alikukazia kwenye dini basi jiandae kuletewa kiburi cha ajabu hapo ndani.

Wanawake huwa anakutest na mambo serious akuone msimamo wako, ukitikisika tu basi imekula kwako.....

Sasa wewe umesikia wapi mwanaume unabadili dini au mwanamke anakukazia kubadili dini yake kuja ya kwako....?!

Ipo hivi, ni wazi kwamba huyo mwanamke yeye anatazama yeye anachotaka.... Mwanamke huwa anakabidhi maisha yake kwa mwanaume wake MUNGU anawaongoza wote.....

Mwanamke hanaga dini yeye anaweza olewa na kubadili dini kufuata maelekezo ya mwanaume wake....

Tafuta manzi mwingine haraka sana.... Huyu pukutisha sasa hivi....


Hata ungekuwa ni mwanaume wa kiislamu, mpagani, buda, mhindu, au hata rastafariani.... usikubali kubadili dini kufuata imani ya mwanamke, huo ni udhaifu mkubwa sana.

Hapo mwanamke kakupima. Haws mabinti wa sasa wanaviburi sana..... Kwenda shule kumewatoa sana katika mitazamo ya imani na uimara katika maisha ya ki MUNGU ......
 
Kama ni wewe ni Mkatoliki nenda walau ukafunge ya mseto kanisani, hiyo ya Bomani kiimani utaendelea kuwa mzinifu na mzinishaji. Yaani hapo kama imeshindikana kabisa kumshawishi akufuate. Kama ni dhehebu lingine sifahamu utaratibu
Sio kweli
 
Kama tu ameshindwa kukutii kwenye hili umo ndani sioni mkielewana. Ata ku control sana
 
Kitendo cha kutokukubaliana juu ya imani, hadi hapo hakuna ndoa...

Ndoa maana yake ni unganiko la watu wawili wenye kunia mamoja...
 
Mkuu katika jambo bora na muhim sana "a gentleman do" ni kuiweka salama familia yake, achana na huyo mwanamke, oa wa dini yako! Binafsi nilikua na pisi kali sana ambae hakua Muislamu, ilipofika muda nataka kuoa tuliachana kwa mutual agreements nikaoa Muislamu mwenzangu, though alikua na kila kitu nlichohitaji kwa mwanamke! Ndoa ni ibada na lazima ikabidhiwe kwa Mungu sio mkuu wa wilaya. Kama unataka uwape shida watoto wako in case ukitangulia, it's ok..mana lazima hawatafuata dini yako kamwe in your absence as a father.
 
Bomu la kutoa machozi hili baadaye, we jifunge tu kiunoni mkuu......yatakutoka sana baadaye......saizi huwezi kuelewa
 
Mimi baada ya kuishi na mwanamke kwa miaka 8 na kupata watoto wawili akataka tufunge ndoa ,ila nibadili dini niwe mkristo mi nimegoma ,ingawa watoto anawapeleka kanisani siku moja moja hiyo sio inshu Sana kwangu,tumefunga ndoa ya bomani,ila sijiskii kama nimeoa au nina Mke,tunaishi mbalimbali kwa muda mrefu ,siku moja nipo nae anadiss eti ndoa gani ile haina hata shamramshara Ili watu wamjue kama yeye ni Mke wa fulani,nikamwambia wewe mwanamke umegoma kubadili dini na Mimi siwezi kubadili dini na kama unaona ndoa haina maana na wewe ndo uliitaka utajijua mwenyewe sitaki kelele, ni hivi haya Maisha bora mtu uishi mwenyewe tu ukiwa na hamu tafuta malaya gonga kalale na si kumfuga mwanamke ndani ni mateso tu
 
Ni kweli mkuu.. Ndoa ya kwa DC naona ni mtihani kwangu kiimani, naona kabisa namkabidhi DC ndoa yangu badala ya kumkabidhi Mungu

Mie ni Muislamu mume Mkirsto mtoto wetu ni Mkirsto pia na watakaokuja wala sijali. Tunaishi kwa amani na upendo mwaka wa tano huu.

Mwanzo ndugu ndio walitaka kutuyumbisha maana sie tulishaamua kua na ndoa ya bomani.Tukasimama imara wakaona tupo serious wametuacha maisha yanaenda poa kabisa.

Mbiu yetu ambayo aliianzisha mume wangu wakati tunaanza mahusiano ni "Dini tunayoshare mimi na yeye ni upendo" ilinishawishi ndio tunaiishi. Tunaamini ukiwapenda unaowazunguka utawatendea mazuri na ukijipenda hutajitendea mabaya. Tunaabudu dini zetu kwa uhuru kabisa iwe nyumbani ama kwenda sehemu za ibada.

Kwahio na wewe pima kama upendo kati yenu ni mkubwa mnaweza kuishi katika mazingira yeyote yale.
 
Ila Dar mnaangaika sana na hayo maadini, lkn mikoani mambo ya dini sio ishu kubwa kivile sijui kwanini yaani
 
Ana bwanaake muislamu Huyo, take risk beba mazima Au badili dini itwa Esmail au Yahaya upunguze gharama,laki5 nyingi unarudi na mkeo home mnaendeleza libeneke 👊
 
Mwanamke alikataa kubadili Dini, jeee atakubali watoto waende Kanisani wakati wanatumia ubini wako,,? Ndoa sio kitu cha kufanya maamuzi ukiwa na matamanio, unatakiwa kuwa na malengo na kutanguliza akili mbele,,, Jiongeze mkuu
 
Back
Top Bottom