hyo picha ina ujumbe gan?
Mila zina nguvu sana hasa ukizizingatiaBibi alienda kumfufua babu na kuchukua paja lake!
Hiyo ndio iliyo kuwa mila ya Kichaga! Maana bibi alikuwa bado mdogo na watoto wake pia walikuwa wadogo, lile paja lili kuwa ulinzi wake kuwa Roho ya mumewe bado ipo ikimsaidia kulea watoto wake na ulinzi pia!
Bibi hakuolewa na aliwatunza wakina mama na ndugu zake barabara walahi [emoji2956]