Kufukua maiti ni zoezi la ujasiri

Kufukua maiti ni zoezi la ujasiri

Siku ya tukio baada ya kuhamisha na kusafirisha, muda wote niliota picha cha mafuvu na mifupa hadi kutisha
Pia kuna jinsi za kufanya matambiko au mambo ya kimila ili kusitokee shida wala vituko kabla wakati na baada ya zoezi zima
 
sema kazi za monchwari zinalipa sana ila uwe jasiri na usiwe kidomodomo
 
Ila we Mshana khaa...inaonekana kwako kuna chumba kimoja huwa akifunguliwi na mtu baki zaidi yako( kama hadithi za kale).. Humo ndio kuna tafiti zote za ushirikina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji134] [emoji134] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23]
 
3c1f488e1792b1e65f7bf623a177ec9c.jpg
 
Ni imani tu wala hakuna shida yeyote kufukua maiti..maana aliyekufa amekufa na hajui chochote.. pia mtu akifa mwili huenda mavumbini na roho hurudi kwa Mungu kwa ajili ya hukumu..
 
Me nakumbuka babu yangu alifariki mwaka 98 ilikuwa mchana saa6 tukazika saa10 c unajua c maalkaeda.
Usiku bana watu tulikimbia nyumba maana mzee alikuwa anafuga majini kuna chumba kilikuwa hakifunguliwi hapo kila nilikuwa nikimuuliza kuna nn humo ananijibu ni spea zake ila nilikuw nikichungulia pako empty.
Basi bana usiku saa moja mziki ndo ukaanza ndani makelele ya ajabu mara alie mbuzi,mara paka mara simba mara mwanamke anapiga kelele yaani baada ya kuikimbia nyumba watu wote asubuhi tukaanza mmoja mmoja kwenda kuskilizia yaani ukuta ulikuwa umetinduliwa vyombo vimevunjwa yaani kama pamepigwa bomu vile.sitasahau huo mziki
 
Ni imani tu wala hakuna shida yeyote kufukua maiti..maana aliyekufa amekufa na hajui chochote.. pia mtu akifa mwili huenda mavumbini na roho hurudi kwa Mungu kwa ajili ya hukumu..
Hebu soma reply ya adden
 
Back
Top Bottom