Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Acheni KICK wakati Dunia inakabiliwa na janga hili. Pia nikujize sio wageni pekee wanaoleta ugonjwa huu. Kuna visa tayari ni ndugu zetu wametoka navyo Huko nje na Serikali haingeweza kuwakataza kurudi kwako wakati ulikuwa bado haujaingia nchini
 
Chanzo ni wageni huu ugonjwa unaletwa na wageni
Hausafirishwi na upepo.
 
Nasikia hatimaye safari za kimataifa zimefutwa.
Je ni kukumbuka shuka au
 
Washakufa watano na kibao wako ICU nenda mahakami kamanda na usimsahau Bashite kwenye hiyo kesi

Katika hiyo idadi ya watano kuna baba na mama yako? Maana taarifa rasmi vifo ni vitatu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Chanzo ni wageni huu ugonjwa unaletwa na wageni
Hausafirishwi na upepo.
Soma vizuri quote yangu
Nimekuambia wako Watanzania wamepatikaba na haya maradhi hao sio wageni Bali waneyaingiza nchini wakitoka kwenye Mishe zao na kurudi home wakiwa wameambukizwa Huko watokako
 
Soma vizuri quote yangu
Nimekuambia wako Watanzania wamepatikaba na haya maradhi hao sio wageni Bali waneyaingiza nchini wakitoka kwenye Mishe zao na kurudi home wakiwa wameambukizwa Huko watokako
Hao watanzania wametolea huko huko nchi walizokuwa yaani kwa wakazi wa nchi walizotoka mfano China,Italy nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…