MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
hasira lazima iwepo hivi unaona wanavotufanyia ni sawa? huyu bashite anaitisha mikusanyiko akijua hairuhusiwi inamana huyu kajitoa ufaham kaamua wacha niwakusanye watanzania waambukizane alafu sirikale inamtazama tu kisa ni MTOTO WA MZEE BABA alafu huku kwenye madaldala ukisimamisha tu mtu mmoja unashushwa na bakora juu.. sasa hii utasema nchi inapambana au inatesa wananchiMbona kama umeandika kama una hasira mkuu?
Kweli kabisa waache corona ituathiri hivi hivi ?