Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi.
Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya.

Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi mahakama kuu ya Tanzania (masjala kuu Dar), lengo hasa ni kumshitaki waziri wa miundombinu kwa kukataa kufunga viwanja vya ndege ,bandari (except bandari ya dar) ili kuzuia wageni ambao kimsingi ndiyo wanaosambaza ugonjwa huu wa corona nchini,kwa maana kwamba kitendo hicho kimechagiza kusambaa kwa ugonjwa huo, kwa upande wa wizara ya afya hii imeshindwa kusimamia kidete suala hilo la kuhakikisha wizara ya miundombinu haikiuki utaratibu we kuzuia watu wasiingie wala kutoka hapa tanzañia,
Mwanasheria mkuu anashtakiwa kwa sababu ndiyo mtetezi wa serikali pale inaposhitakiwa.

Amri ninazotaka kuziomba mahakamani ni hizi

1.mahakama kuu ya Tanzania itamke kwanza kitendo cha waziri/wizara ya miundombinu kukaidi kufunga viwanja vya ndege, bandari(except ya dar),mipaka nk kinahatarisha Afya na usalama wa wananchi wa Tanzania hivyo kitendo hicho ni batili

2.mahakama kuu iiamrishe wizara ya miundombinu kufunga mipaka,viwanja vya ndege, bandari kwa manufaa ya umma 'public interest'

3.mahakama kuu iseme kwamba kwenye majanga kama haya ya corona principle itakayo tumika ni 'the best interest of the citizen of the United Republic of Tanzania' yaani 'our welfare first' no matter what, kwa kiswahili ni kwamba kwa tatizo lolote lile tutaangalia maslahi yetu watanzania, na ustawi wetu na ustawi unajumuisha 'Afya yetu'

Naomba kuwasilisha.

Saveya (S)
Land surveyor.
Acheni KICK wakati Dunia inakabiliwa na janga hili. Pia nikujize sio wageni pekee wanaoleta ugonjwa huu. Kuna visa tayari ni ndugu zetu wametoka navyo Huko nje na Serikali haingeweza kuwakataza kurudi kwako wakati ulikuwa bado haujaingia nchini
 
Acheni KICK wakati Dunia inakabiliwa na janga hili. Pia nikujize sio wageni pekee wanaoleta ugonjwa huu. Kuna visa tayari ni ndugu zetu wametoka navyo Huko nje na Serikali haingeweza kuwakataza kurudi kwako wakati ulikuwa bado haujaingia nchini
Chanzo ni wageni huu ugonjwa unaletwa na wageni
Hausafirishwi na upepo.
 
Nasikia hatimaye safari za kimataifa zimefutwa.
Je ni kukumbuka shuka au
 
Washakufa watano na kibao wako ICU nenda mahakami kamanda na usimsahau Bashite kwenye hiyo kesi

Katika hiyo idadi ya watano kuna baba na mama yako? Maana taarifa rasmi vifo ni vitatu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Chanzo ni wageni huu ugonjwa unaletwa na wageni
Hausafirishwi na upepo.
Soma vizuri quote yangu
Nimekuambia wako Watanzania wamepatikaba na haya maradhi hao sio wageni Bali waneyaingiza nchini wakitoka kwenye Mishe zao na kurudi home wakiwa wameambukizwa Huko watokako
 
Soma vizuri quote yangu
Nimekuambia wako Watanzania wamepatikaba na haya maradhi hao sio wageni Bali waneyaingiza nchini wakitoka kwenye Mishe zao na kurudi home wakiwa wameambukizwa Huko watokako
Hao watanzania wametolea huko huko nchi walizokuwa yaani kwa wakazi wa nchi walizotoka mfano China,Italy nk
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom