Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi.
Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya.

Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi mahakama kuu ya Tanzania (masjala kuu Dar), lengo hasa ni kumshitaki waziri wa miundombinu kwa kukataa kufunga viwanja vya ndege ,bandari (except bandari ya dar) ili kuzuia wageni ambao kimsingi ndiyo wanaosambaza ugonjwa huu wa corona nchini,kwa maana kwamba kitendo hicho kimechagiza kusambaa kwa ugonjwa huo, kwa upande wa wizara ya afya hii imeshindwa kusimamia kidete suala hilo la kuhakikisha wizara ya miundombinu haikiuki utaratibu we kuzuia watu wasiingie wala kutoka hapa tanzañia,
Mwanasheria mkuu anashtakiwa kwa sababu ndiyo mtetezi wa serikali pale inaposhitakiwa.

Amri ninazotaka kuziomba mahakamani ni hizi

1.mahakama kuu ya Tanzania itamke kwanza kitendo cha waziri/wizara ya miundombinu kukaidi kufunga viwanja vya ndege, bandari(except ya dar),mipaka nk kinahatarisha Afya na usalama wa wananchi wa Tanzania hivyo kitendo hicho ni batili

2.mahakama kuu iiamrishe wizara ya miundombinu kufunga mipaka,viwanja vya ndege, bandari kwa manufaa ya umma 'public interest'

3.mahakama kuu iseme kwamba kwenye majanga kama haya ya corona principle itakayo tumika ni 'the best interest of the citizen of the United Republic of Tanzania' yaani 'our welfare first' no matter what, kwa kiswahili ni kwamba kwa tatizo lolote lile tutaangalia maslahi yetu watanzania, na ustawi wetu na ustawi unajumuisha 'Afya yetu'

Naomba kuwasilisha.

Saveya (S)
Land surveyor.
Unapatamani segerea sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazunguka tu..... Hao mawaziri hawana huo uwezo wakufunga mipaka ila Mr. Chato. Kamshitaki kama unaweza

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Mimi nashitaki wizara tu!
Naamini wao wana majibu.
 
Donald Trump aliongea sana kwa mbwembwe akiiponda China, siku za mwanzo kabla ugonjwa haujaanza kuua US kwa maelfu.

Hali ilipozidi kuwa mbaya anapokea misaada ya kitabibu kimya kimya. Hakuna awezaye kuishi kama kisiwa.

Usipoteze nguvu zako kwenda mahakamani wakati hili ni janga kubwa (pandemic).
 
uko sawa mkuu tena naona umechelewa WAHI HARAKA SANA kwashtaki haswa UMY MWALIMnionavyo anashindwa kufanya maamuzi hayo kwakuwa tayari anayo idadi kubwa yaa wwathirika mfukoni mwake ambao kila baada ya siku 2 au 3 anatuahadaa kwa kutangaza amepatikana mgonjwa mpya. hii ndio sababu ya kushindwa kufungia viwanja vya ndege ili apate sababu ya kusingizia ni wageni wameingia na virusi kumbe tayari anayo hesabu yake ya waathirika ambao wanajua wapi wamewaficha.
anafikiria akifungia viwanja vya ndege hii hesabu mpya ataitolea wapi?

Ummy Mwalimu ndio ana mamlaka ya viwanja vya ndege?. Kabla hujaandika fanya japo utafiti mdogo tu wa unachokusudia kuandika.
 
Donald Trump aliongea sana kwa mbwembwe akiiponda China, siku za mwanzo kabla ugonjwa haujaanza kuua US kwa maelfu.

Hali ilipozidi kuwa mbaya anapokea misaada ya kitabibu kimya kimya. Hakuna awezaye kuishi kama kisiwa.

Usipoteze nguvu zako kwenda mahakamani wakati hili ni janga kubwa (pandemic).
Tukifunga viwanja vya ndege na bandari tutazuia kuenea kwa kasi.
 
Ummy Mwalimu ndio ana mamlaka ya viwanja vya ndege?. Kabla hujaandika fanya japo utafiti mdogo tu wa unachokusudia kuandika.
acha uzombi wa lumumba na kuizoea tabia ya babayenu MEKO ya kukurupuka.. umeshaambiwa wahusika watatu AFYA , MIUNDOMBINU na SHERIA wanahusika. sasa ulitaka niseme nani? MUMEO au bwanawako? shwainnnn
 
mkuu msamehe tu! Si unajua posho zile 7000/- zimechelewa
 
Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi.
Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya.

Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi mahakama kuu ya Tanzania (masjala kuu Dar), lengo hasa ni kumshitaki waziri wa miundombinu kwa kukataa kufunga viwanja vya ndege ,bandari (except bandari ya dar) ili kuzuia wageni ambao kimsingi ndiyo wanaosambaza ugonjwa huu wa corona nchini,kwa maana kwamba kitendo hicho kimechagiza kusambaa kwa ugonjwa huo, kwa upande wa wizara ya afya hii imeshindwa kusimamia kidete suala hilo la kuhakikisha wizara ya miundombinu haikiuki utaratibu we kuzuia watu wasiingie wala kutoka hapa tanzañia,
Mwanasheria mkuu anashtakiwa kwa sababu ndiyo mtetezi wa serikali pale inaposhitakiwa.

Amri ninazotaka kuziomba mahakamani ni hizi

1.mahakama kuu ya Tanzania itamke kwanza kitendo cha waziri/wizara ya miundombinu kukaidi kufunga viwanja vya ndege, bandari(except ya dar),mipaka nk kinahatarisha Afya na usalama wa wananchi wa Tanzania hivyo kitendo hicho ni batili

2.mahakama kuu iiamrishe wizara ya miundombinu kufunga mipaka,viwanja vya ndege, bandari kwa manufaa ya umma 'public interest'

3.mahakama kuu iseme kwamba kwenye majanga kama haya ya corona principle itakayo tumika ni 'the best interest of the citizen of the United Republic of Tanzania' yaani 'our welfare first' no matter what, kwa kiswahili ni kwamba kwa tatizo lolote lile tutaangalia maslahi yetu watanzania, na ustawi wetu na ustawi unajumuisha 'Afya yetu'

Naomba kuwasilisha.

Saveya (S)
Land surveyor.
Kumshtaki waziri utakuwa unamwonea. Rais Magufuli ndiye asiyetaka mipaka ifungwe kwa sababu za kiuchumi.

Hata mimi nililalamika sana kwa vitendo vya waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Nikajikuta kuwa namwonea. Nyuma yao yuko JPM. Kwa hiyo kuwashtaki wao ni sawa na kumshtaki Rais, na kwa hali hiyo nafikiri huta kuwa na mafanikio makubwa sana.

Rais Magufuli ana ndoto zake za kui catappult hii nchi 20 years ahead, lakini hili janga anona litmharibia lengo lake na ndiyo maana anajaribu kwa kadri anavyoweza kulifanya hili janga kama sio kitu kikubwa sana kwa watanzania. Huko aliko atakuwa halali, anakesha kumwomba mungu wake ili hili janga lipite kwa haraka.

Kwa taarifa yako napenda kukutoa wewe na watanzania kwa ujumla wasi wasi kuwa, kwa habari nilizo zipata asubuhi hii kutoka taarifa za habari za Station ya ZDF nchini ujerumani ni kwamba CEO wa kampuni ya Kutengeneza madawa ya BAYER ya ujerumani amethibitisha kuwa dawa za aina ya RESOCHIN ambazo zinatumika sana katika kutibu magonjwa ya malaria zina uwezo pia wa kuua vijidudu vya Covid-19. CEO huyo aliendelea kusema kwamba kampuni yake iko tayari kutoa hizo dawa hata bure ikiwezekana.

Kwa hiyo Rais Magufuli na watendaji wako nafikiri solution la hili janga limepatikana na watanzania hawana sababu ya kuwa na hofu.
Mambo yako bam bam.

Kilicho bakia sasa serikali yetu kuhakikusha inaagiza hizo dawa kwa wingi ili kila mtanzania apatiwe bure kama njia ya kujikinga na maradhi ya Coronavirus.

Rais Magufuli ana ndoto zake za kui catappult hii nchi 20 years ahead, lakini hili janga anona litmharibia lengo lake na ndiyo maana anajaribu kwa kuka anavyoweza kulifanya hili jana kama sio kitu kikubwa sana kwa watanzania. Huko aliko atakuwa halali, anakesha kumwomba mungu wake ili hili janga lipite kwa haraka.

Kwa taarifa yako napenda kukutoa wewe na watanzania kwa ujumla wasi wasi kuwa, kwa habari nilizo zipata hasubuhi hii kutoka taarifa za habari za Station ya ZDF nchini ujerumani ni kwamba CEO wa kampuni ya Kutengeneza madawa BAYER ya ujerumani amethijitisha kuwa dawa za aina ya RESOCHIN ambazo zinatunika katika kutibu magonjwa ya Malaria zina uwezo pia wa kuua vijidudu vya Covid-19.

CEO huyo ukiendelea kusema kwamba kampuni yake iko tayari kutoa hizo dawa hata bure ikiwezekana.

Kwa hiyo Rais Magufuli na watendaji wako nafikiri solution la hilibjanga limepatikana na watanzania hawana sababu ya kuwa na hofu.
Mambo yako kam bam.

Kilicho bakia sasa serikali yerukuhakikusha inaagiza hizo dawa kwa wingi ili kila mtanzania apatiwe bure kama njia ya kujikinga na maradhi ya Coronavirus.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh dawa ya corona?
 
Kumshtaki waziri utakuwa unamwonea. Rais Magufuli ndiye asiyetaka mipaka ifungwe kwa sababu za kiuchumi.

Hata mimi nililalamika sana kwa vitendo vya waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Nikajikuta kuwa namwonea. Nyuma yao yuko JPM. Kwa hiyo kuwashtaki wao ni sawa na kumshtaki Rais, na kwa hali hiyo nafikiri huta kuwa na mafanikio makubwa sana.

Rais Magufuli ana ndoto zake za kui catappult hii nchi 20 years ahead, lakini hili janga anona litmharibia lengo lake na ndiyo maana anajaribu kwa kadri anavyoweza kulifanya hili janga kama sio kitu kikubwa sana kwa watanzania. Huko aliko atakuwa halali, anakesha kumwomba mungu wake ili hili janga lipite kwa haraka.

Kwa taarifa yako napenda kukutoa wewe na watanzania kwa ujumla wasi wasi kuwa, kwa habari nilizo zipata asubuhi hii kutoka taarifa za habari za Station ya ZDF nchini ujerumani ni kwamba CEO wa kampuni ya Kutengeneza madawa ya BAYER ya ujerumani amethibitisha kuwa dawa za aina ya RESOCHIN ambazo zinatumika sana katika kutibu magonjwa ya malaria zina uwezo pia wa kuua vijidudu vya Covid-19. CEO huyo aliendelea kusema kwamba kampuni yake iko tayari kutoa hizo dawa hata bure ikiwezekana.

Kwa hiyo Rais Magufuli na watendaji wako nafikiri solution la hili janga limepatikana na watanzania hawana sababu ya kuwa na hofu.
Mambo yako bam bam.

Kilicho bakia sasa serikali yetu kuhakikusha inaagiza hizo dawa kwa wingi ili kila mtanzania apatiwe bure kama njia ya kujikinga na maradhi ya Coronavirus.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaangu wewe hivi unajitambua kweli au ''COLONA'' imekupitia?
 
Additionally
Nimeuliza mwanasheria wangu kaniambia kwamba tunatakiwa kutuma 'notice' ya siku 90 (notice of intention to Sue), itapelekwa kwa wizara!idara husika na kwa 'solicitor general'
Hivyo basi nimeshauriwa tuandae hati ya dharura (certificate of urgency)
 
Back
Top Bottom