Kufoji vyeti: Chuo Kikuu Mzumbe wameweza kwanini MoCU( MUCCoBS) washindwe?

Baraza La Seneti La Muccobs
Tunategemea Wachukue Desa La Mzumbe Watangaze Kuwa Bashite Kavuliwa Degree Yake Wakati Vyombo Vikusuasua Kuchukua Hatua
Ni Ngumu kwa sababu jamaa aliovatake na Majina Tofauti Vyuoni huwa hawaombi Vyeti vya Darasa la 7 ninamiini hata Mimi Trol JF nikichukua Vyeti vyako Nikaenda kusoma Certificate Ardhi Na Diploma nikaja Kufanya Admission UDSM completely hawataweza Kunitambua Pale unapokua na nafasi kubwa hasa za Kisiasa ndo Unaumbuka. kwa sababu watu wa mtaani kwako au kijijini kwenu wanakujua kwa sura na Majina yako ya awali hasa classmates wa Darasa la 7.
 
Nancy Kamuzora alipata division one form four
 
kweli haki mkuu?
Ndio la 7 nilifeli nikafanya manuva nikaenda kidato nikafaulu mpaka Masters uje univue kisa nilifeli la 7??
Off point! Matokeo ya la 7 sio miongoni mwa sifa au vigezo vya kujiunga na degree hence masters. Kinyume na STD. VII, F.IV ni miongoni mwa sifa. Kama "alifanya manuva" akaingia bila sifa imekula kwake; anatakiwa avuliwe haraka sana hata kama ni PhD; unless ni ya heshima.
 
Now you're talking! Kimsingi haitakiwi kuwa hivyo na inaonesha jinsi kulivyo na udhaifu mkubwa katika vyombo na mifumo yetu mbali mbali. Inatakiwa watu wadakwe mapema wanapojaribu forgery za aina ya Bashite na nyinginezo badala ya kusubiria mpaka awe "mtu mkubwa". Well, aliweza kufanya manuva akafika hapo alipo sawa; na wakati alipoteuliwa hapakuwa na vetting?
 
Kutaja mtu ni lazima uwe na uhakika.
MBONA hili jambo mpaka aka graduate hukulipeleka kwenye vyombo husika?
USIMHARIBIE mtu jina lake ni makosa ya JINAI.Isije kuwa una PERSONAL beef naye!
 
Bashite amefanya Muccobs kionekane ni chuo cha makanjanja yani ukifoji cheti lazima upate admission.
 
Sasa nimeanza kuelewa kwanini DAUDI alimwaga machozi hadharani.
Hapana chezeiya kuzungusha hafu utumie cheti cha mtu uwe kiongozi kiherehere ka mke wa balozi halafu uumbuke mchana kweupe, hakika lazima machozi yakutoke
 

Wote hao watafutwe na zifutwe, bila hivyo Rais Magufuli hajafanya ya kutosha kurudisha nchi kwenye msingi wake wa uwajibikaji. Yeyote aliyeingia degree course bila minimum ya five five passes at D level followed by one year of certificate then two year diploma course must be made null and void and for law stream should have secured a credit in English!! Kama Mzumbe au chuo chochote hakikufuata mkondo huu ambao ndo sheria then Prof Ndalichako asilale kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…