Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,161
- 2,668
- Thread starter
-
- #21
Kuna wengine ni attention seekers
wakiona watu wengi....
Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa
anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu
halafu anaanza maaaaaa maa weeee
siaaaamini umetutokaaaaa
tutakwendaaa wapiii sieeeeee
wananiudhi hao,basi tu..
AfroDensi! Dah kulia kwa ndani aisee yahitaji moyo! Sasa kwa mtu wa aina hiyo afanyeje machozi yatoke?
Kuna wengine ni attention seekers
wakiona watu wengi....
Mfano badala ya mtu kulilia chumbani akiwa amekaa
anakwenda kwenye dirisha linalotazama nje kwenye watu
halafu anaanza maaaaaa maa weeee
siaaaamini umetutokaaaaa
tutakwendaaa wapiii sieeeeee
wananiudhi hao,basi tu..
no comments.
Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.
<br />most of the time wale ambao hawalii kwa macho hulia vibaya saaaana moyoni. dada mmoja alifiwa na mumewe. she didnt cry kama watu wanavotamani kumwona mjane akijigalagaza chini kwa makeleeele. ila alikua kama amefyatuka akili haongei, ukimsemesha kama hasikii wala kuelewa alikua anatoa macho tu. mama mmoja wa makamo akamfuata na kumwingiza chumbani after msiba akamwambia kua kule kutokulia kunamumiza zaidi alimjaza maneno kibao hadi yule dada akaanza kuangua kilio. mama yule akamwacha akaliiiiiiiia like two hours bila kubembelezwa na mtu hadi fundo la uchungu likamwisha baada ya hapo alirudia kua kama kawaida. watu wazima husema ikiwa mtu hatalia basi anahatari hata ya kufa ghafla kwasababu ya uchungu moyoni. kulia wakati mwingine hupunguza fundo huzuni na hasira za kuondokewa.

wananiudhi hao,basi tu..[/QUOTE]
hahaha The Boss.....umenifurahisha sana, mie kwa hilo nakuhakikishia kukuudhi, frnd wangu alifiwa na mtoto wake, nakumbuka cku hiyo nilienda kumpokea yeye akapumzike kidogo, yule mtoto alinifia nikimuangalia, nilikuwa cjawahi kuona so nilikuwa nashangaa shangaa tu, doc kuja ananiambia habari imekatika ckuamini...kilichoendelea hapo ni hicho cha kukuudhi.
Mie nilifiwa na mwanangu nimemshika kaniita Mama mara tatu na akafariki u can't imagine sikushituka wala kulia but nilivofika home ndo nikaamini kuwa hayupo break ya kwanza hospital na drip juu unajua unakuwa na shock na Mungu anakupa nguvu za ajabu unaweza.
Samahani kwa yeyote nitakayemkwaza kwa hii mada lakini ni sehemu ya kubadilishana mawazo:
Ni hivi; Mtu anapofiwa kuna mawili, moja ni kulia tena kwa machozi, nyingine kulia kimya kimya machozi hayatoki. Sasa kuna watu wakifiwa na mtu wao wa karibu kabisa, kila wakijaribu walie kwa machozi hawafanikiwi, hao tuseme wana kasoro ama kuna jambo lingine linalowasumbua?