Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,568
nimefanya seriikalini 9years na take home ilikuwa 720k. niliacha 2010 sasa nipo private Napata 1.5m net, simu, usafiri, commissions, bonus ya 8.2m kila mwaka. tatizo ni peace and harmony. if you are below 30yrs go URT, but if not stay there.
ni kweli usemayo.private hakuna peace,me nimefanya miaka mitatu tu,ila kwa sasa nipo govt hata nguo zinanibana,si kwa sababu ya mshahara hapana ni peace tu nilonayo,kaz za private sometym mkataba wa mwaka mmoja,,,mara kimemoo,mara cjui nani ana influence kazin anatia zengwee,basi shida sana mdau,