pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,228
Tatizo huko serikalini akili inalemaa mno ikiridhika na take home na kusubiria mafao. Ila private akili inakua aktiv sana hasa bos akikushaout kesho tu utafikiria kua na kibiashara chako na hatimae utakua tajiri wewe kuliko utakapokimbilia serikalini.
Umeongea mkuu,serikalin unadumaa na takehome,mikopo ,na perdiem kama zipo.
Huku private hizo memo,contract za mwaka mmoja mmoja zinakupa changamoto ya kuthink out of the box. Namwomba Mungu tu this same mwajiri anipe 5 years with him.then sitahitaj kuajiriwa tena for the rest of my life. Amen