Kufanya kazi serikalini vs kufanya kazi sector binafsi.

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
14,602
2,000
nimefanya seriikalini 9years na take home ilikuwa 720k. niliacha 2010 sasa nipo private Napata 1.5m net, simu, usafiri, commissions, bonus ya 8.2m kila mwaka. tatizo ni peace and harmony. if you are below 30yrs go URT, but if not stay there.

ni kweli usemayo.private hakuna peace,me nimefanya miaka mitatu tu,ila kwa sasa nipo govt hata nguo zinanibana,si kwa sababu ya mshahara hapana ni peace tu nilonayo,kaz za private sometym mkataba wa mwaka mmoja,,,mara kimemoo,mara cjui nani ana influence kazin anatia zengwee,basi shida sana mdau,
 
Teresia Mahimbi

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
271
195
Habari za wakati huu waheshimiwa!ebwana kwa sasa mimi ni mwajiriwa katika sector binafsi{bank}katika kitengo cha mikopo,mshahara wangu wa mwezi baada ya makato yote,nabaki na 420k,sasa sometimes in this year nilifanya interview flani katika tume ya utumishi wa umma na hvi ninavoandika hapa nimeitwa kuanza kazi katika moja ya halmashauri za wilaya hapa tanzania katika fani ya mchumi daraja la pili,sasa wakuu niko katka dilema kwamba niende kureport huko kwenye kituo changu kipya au niendelee tu na kazi yangu ya sasa?huko wilayani mshahara kabla ya makato ni 580k kama sijakosea..vile vile naombeni mnishauri wakuu wangu kwa kunambia faida na hasara za kufanya kazi serikalini ili nifanye maamuzi yaliyo sahihi.
Asanteni.

nenda Serikalini ukafanye kazi ya Profession yako dogo,najua hapo kwenye Bank kitengo cha Mikopo kuna zile asiliia mnzodai watu wanaokuja kuomba mikopo ili muwafanyie fasta ndo kinachowalemaza,otherwise I dont see a future with a private Bank..ukiwa serikalin tena huko Halmashaur utapata muda wa kufanya na mambo yako mengine kuongeza kipato;basi sawaaaaaaaaaaaaa
 
Mtuflani

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
323
195
Me nmepangwa Arusha cjafikiria mara mbili naenda Government na kuna jamaa wa private walikua wananitaka ila nimewapotezea baada ya kupata serikalini. Kumbuka serikalini mishahara inapanda with time pia kuna benefits nzuri kama kupewa nyumba na kulipiwa zaidi ya nusu ya asilimia ya pensheni thats according to my contract.
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,986

poa poa mkuu,nimekusoma.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,954
2,000
ni kweli usemayo.private hakuna peace,me nimefanya miaka mitatu tu,ila kwa sasa nipo govt hata nguo zinanibana,si kwa sababu ya mshahara hapana ni peace tu nilonayo,kaz za private sometym mkataba wa mwaka mmoja,,,mara kimemoo,mara cjui nani ana influence kazin anatia zengwee,basi shida sana mdau,

Kha! Unakula kwa urefu wa kamba yako.
 
Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,366
2,000
nimefanya seriikalini 9years na take home ilikuwa 720k. niliacha 2010 sasa nipo private Napata 1.5m net, simu, usafiri, commissions, bonus ya 8.2m kila mwaka. tatizo ni peace and harmony. if you are below 30yrs go URT, but if not stay there.

Kwenye RED una maana kama ana chinin ya miaka 30 ndo aende Serikalini ama the other way round
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,632
2,000
Kwa nini ufikirie mafao ya kustaafu? Kwa nini usifikiri kufanya kazi na ujasiriamali? Naogopa kutoa siri yangu ila nilifanya kazi URT huku nikifanya small business na nikaafukuzwa kimizengwe. Hawakujua sikutaka nifanye kwao hadi nistaafu. Then wakanipa mtaji. Nilisoma vitabuni na vimeaply. Sas nimeajiri watu kibao na naamka saa tatu. Nakula bata kama sina akili nzuri. Mshahara wangu kwa biashara yangu ni 3.5 na kampuni yangu inanilipia hadi bima ya afya

The way you think is the way you are. Ukifikiria mafao ya kustaafu unafikiria kufa uache hata hayo mafao bila kula hata bata moja. Benki ina faida pia kama sio mvivu wa kufikiri.
 
ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,893
2,000
Habari za wakati huu waheshimiwa!ebwana kwa sasa mimi ni mwajiriwa katika sector binafsi{bank}katika kitengo cha mikopo,mshahara wangu wa mwezi baada ya makato yote,nabaki na 420k,sasa sometimes in this year nilifanya interview flani katika tume ya utumishi wa umma na hvi ninavoandika hapa nimeitwa kuanza kazi katika moja ya halmashauri za wilaya hapa tanzania katika fani ya mchumi daraja la pili,sasa wakuu niko katka dilema kwamba niende kureport huko kwenye kituo changu kipya au niendelee tu na kazi yangu ya sasa?huko wilayani mshahara kabla ya makato ni 580k kama sijakosea..vile vile naombeni mnishauri wakuu wangu kwa kunambia faida na hasara za kufanya kazi serikalini ili nifanye maamuzi yaliyo sahihi.
Asanteni.

Aisee!! Hupaswi kujishauri kuhusu hilo. Nenda ukaripoti haraka iwezekanavyo. Kule utapata exposure ambayo hukuitarajia katika maisha yako.
 
ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
1,340
2,000
Tatizo huko serikalini akili inalemaa mno ikiridhika na take home na kusubiria mafao. Ila private akili inakua aktiv sana hasa bos akikushaout kesho tu utafikiria kua na kibiashara chako na hatimae utakua tajiri wewe kuliko utakapokimbilia serikalini.
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,632
2,000
Me nmepangwa Arusha cjafikiria mara mbili naenda Government na kuna jamaa wa private walikua wananitaka ila nimewapotezea baada ya kupata serikalini. Kumbuka serikalini mishahara inapanda with time ipia kuna benefits nzuri kama kupewa nyumba na kulipiwa zaidi zya nusu ya asilimia ya pensheni thats according to my contract.
Kwa nini umdanganye mwenzio
? Hili ni tatizo kubwa la watz. wakijua mwenzao atanufaika wanaleta mbovu. Hivi TBL ni URT businesss. Acha kufikiri kama chungu cha mama jikoni kwenu
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,632
2,000
Kwa kuwa watu hawataki kufikiri wanaongea habari ya security of employment. Secutity ni wewe mwenyewe. Ukitaka wakufukuze watafanya hivyo
Hata huko serikalini wamefukuzwa wengi zaidi. Uewelewa ndio shida. Jitambue kwamba kikutokacho rohoni ndicho utafanya hata uwe wapi . Private ni bora piga ua.
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,632
2,000
nenda Serikalini ukafanye kazi ya Profession yako dogo,najua hapo kwenye Bank kitengo cha Mikopo kuna zile asiliia mnzodai watu wanaokuja kuomba mikopo ili muwafanyie fasta ndo kinachowalemaza,otherwise I dont see a future with a private Bank..ukiwa serikalin tena huko Halmashaur utapata muda wa kufanya na mambo yako mengine kuongeza kipato;basi sawaaaaaaaaaaaaa
Serikali inakulemaza na unakufa ukisubiri mafao. Unless uwe kichaaa. Private ni dynamic , uliza kwanza ndio ukomment
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Kwa nini ufikirie mafao ya kustaafu? Kwa nini usifikiri kufanya kazi na ujasiriamali? Naogopa kutoa siri yangu ila nilifanya kazi URT huku nikifanya small business na nikaafukuzwa kimizengwe. Hawakujua sikutaka nifanye kwao hadi nistaafu. Then wakanipa mtaji. Nilisoma vitabuni na vimeaply. Sas nimeajiri watu kibao na naamka saa tatu. Nakula bata kama sina akili nzuri. Mshahara wangu kwa biashara yangu ni 3.5 na kampuni yangu inanilipia hadi bima ya afya

The way you think is the way you are. Ukifikiria mafao ya kustaafu unafikiria kufa uache hata hayo mafao bila kula hata bata moja. Benki ina faida pia kama sio mvivu wa kufikiri.

U INSPIRE ME AISEE....SIPENDI KUAJIRIWA ALL MY LIFE,ENTREPRENEURSHIP IS THE REAL DEAL,nipo kwny mchakato kusimamisha my own business nifanye othr things in life zaid ya kuamka every morning to mwajiri...INSHALLAHH NTAFIKA SOON
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Najua kila mtu ana mtazamo wake and we define the world differently. Heshimu sana mipango na malengo yako ya sasa baadae mfano unataka uishi wapi na lini na kwa nini. Nimepangiwa mkoa wa pwani mara mbili sikuenda na mara mwisho dar lakini nilifanya miezi nikaacha, nipo private napata challenges ZA HALI YA JUU na zinanijenga; nimesoma master na sasa PhD nikiwa private, nimetembea nchi nyingi za ulaya na asia kwa sababu ya kua private s. Si watz tunasema job security hii si level yetu na ni uzembe wa akili, vile vile kwako wewe think even how you can run your projects after few yrs baadala ya kinua mugongo.

WORD,neno kuntuuuu
 
dotnet

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
393
0

Ntakutafuta. PhD umejisomesha? Au ni moja ya benefits za ajira yako?
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,986
2,000
Najua kila mtu ana mtazamo wake and we define the world differently. Heshimu sana mipango na malengo yako ya sasa baadae mfano unataka uishi wapi na lini na kwa nini. Nimepangiwa mkoa wa pwani mara mbili sikuenda na mara mwisho dar lakini nilifanya miezi nikaacha, nipo private napata challenges ZA HALI YA JUU na zinanijenga; nimesoma master na sasa PhD nikiwa private, nimetembea nchi nyingi za ulaya na asia kwa sababu ya kua private s. Si watz tunasema job security hii si level yetu na ni uzembe wa akili, vile vile kwako wewe think even how you can run your projects after few yrs baadala ya kinua mugongo.

nimekuelewa mkuu,na asante kwa mawazo yako.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,322
2,000
Hapo hapo ulipo mwanangu shikilia channel usiachie haujawai kusikia mtu analala na njaa ndani ya paris ufaransa? Au kwa kua mji wa maraha basi unajua hawalambi galasa? Kufanya kazi serikalini ni uoga wa maisha!! Security what the fvck? Unataka kufanya kazi miaka 100? Kazi ni miaka mi5 tu kutafuta capital,channel then kujiajiri baasi.
 
Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,721
2,000
Habari za wakati huu waheshimiwa!ebwana kwa sasa mimi ni mwajiriwa katika sector binafsi{bank}katika kitengo cha mikopo,mshahara wangu wa mwezi baada ya makato yote,nabaki na 420k,sasa sometimes in this year nilifanya interview flani katika tume ya utumishi wa umma na hvi ninavoandika hapa nimeitwa kuanza kazi katika moja ya halmashauri za wilaya hapa tanzania katika fani ya mchumi daraja la pili,sasa wakuu niko katka dilema kwamba niende kureport huko kwenye kituo changu kipya au niendelee tu na kazi yangu ya sasa?huko wilayani mshahara kabla ya makato ni 580k kama sijakosea..vile vile naombeni mnishauri wakuu wangu kwa kunambia faida na hasara za kufanya kazi serikalini ili nifanye maamuzi yaliyo sahihi.
Asanteni.
Follow ur dream ....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom