Watanzania wenzangu mnao toka ughaibuni kwa lengo la kuwekeza nyumbani na kufanya biashara ya ubia na hao waswahili walio zeekea hapa hata hajawahi kuvuka mpaka kuenda Kenya au Uganda muwaogope sana kufanya nao partenership.
Utakufa kwa pressure stress au fatique hao watu bado hawajastaharabika kama Ulaya mnavo ona kwamba bishara zinazo shamiri sana ni zile za ubia/partnership na watu wana aminiana.
Watanzania/waswahili wenzetu wana kila aina ya vitabia vibomvu awe msomi au sio msomi kama haja wahi kuishi nje ya Tanzania usimuamini kibiashara. Wengi ni:
Jamaangu kachanganyikiwa zaidi $35,000 zimepotea anajipanga upya tena kwasbb hawezi kurudi ughaibuni tena. Jamani lindeni pesa/mitaji haipatikani kirahisi kaa mbali na marafiki wasio kuongezea thamani yoyote kwenye maisha yako.

- Waongo
- Sio waminifu kibiashara
- Wezi
- Wavivu wa kufanya kazi
- Matapeli.
- Wanapenda raha sana
- Hupenda kuongea sana na simu hata wakati wa kazi.
- Limbukeni
- Wana showoff za kishamba
- Wanaamini kwenye uchawi.
- Wanafiki nk.