Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

Uzur wa arusha ni hali ya hewa ya ubarid kwa sie tusiopenda kuoga kila siku hakuna cha zaidi ya hapo labda kidogo kwenye mabar yao kidogo macho hayawez kukosa kuona vitu vizur kutoka manyara na kilimanjaro
Wadada wazuri unamaanisha?kweli nimewaona
 
Kwa TZ hamna mkoa wa kufananisha na Dar.
Mikoa ifananishwe na mikoa wenzake.
Karibu Nachingwea tunakaribia kuvuna ufuta
 
Uzuri wa Arusha ni hali ya hewa esp jioni.
 
Hakuna mji wa kuulinganisha na Dar kwenye level ya kuwa jiji kwa Tanzania..

Labda ukizungumzia aspect flani ya maisha mfano gharama za maisha, hali ya hewa, chakula safi etc

Dar imezidiwa na mingiw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…