Kufahamu kuhusu Bachelor Degrees za Economics

Kufahamu kuhusu Bachelor Degrees za Economics

Wakati wa kujitayarisha ni sasa-angalia options na uzielewe. Kama untaka kuwa mfanya biashara inabidi pia uangalie program za business management na hizo za uchumi. Lakini kwanza ingia mtandaoni ugoogle hizo programs upate maelezo yake. Bahati mbaya ukiangalia prospectus zetu hazielezi kwa kina hivyo itabidi ucheck vyuo vingine hata vya nje.
Jiulize umechukua kombi ipi. HGE au EGM, nafikiri pia kuna ECA (masomo ya biashara zaidi). Economics & Statistics-UDSM na UDOM nafikiri wote wanataka in addition to Economics uwe na ADVANCE Maths, Wenye BAM naamini hawachukuliwi. BA in Economics (UDSM, UDOM, SAUT, JUCO , ARDHI) au BSc in Economics (Mzumbe) hawa wanachukua wote wa EGM na HGE. Halafu kuna Uchumi kilimo na Biashara (SUA) na Uchumi Kilimo, Mazingira na Biashara (UDSM)nao nafikiri wanachukua wote EGM na HGE. Somo moja lapo ambalo mtu wa uchumi hufanya ni Econometrics ambayo msingi wake huwa statistics na mathematics. Hivyo utakapolifikia kama umejenga msingi wake utaliweza au siyo kama mkuu mmoja alivyosema alilijua baada ya kula supp (lakini haya ndio maisha ya vyuo).
Ukisha jua kipi ni kipi unaweza kuangalia prospectus a vyuo tofauti. Karibu vyuo vyote vimeanzia na ile UDSM na kubadilisha machache. Ya SUA na UDSM kilimo zinautofauti wa kutosha kwani ni za kilimo +
 
Nashukuru xnaa kidogo nimeanza kupata muangaza na nilisoma HGE na iyo econometric cjaipata maana naona kma watu wanaiona ningumu sana sasa cjui kma ni kwel na inahusiana sana na kitu gan hasa ili nijipange kabisa #masiya
 
Kama wewe umechukua HGE kwa tanzania focus on BA in Economics/ BSc Economics na Uchumi Kilimo. Kama nilivyosema hapo juu econometrics inajengwa juu ya msingi wa Statistics na Mathematics pamoja na economic theory (demand, supply, production na mengineyo). Kabla ya kufundishwa econometrics utakuwa umefanya course za mathematics na Statistics (in most cases mwaka wa kwanza). Hizi zitakutayarisha kwa hiyo course. Isikupe wasiwasi ni kufanya kazi wakati ukifika.
 
Nashukuru sana ila napenda kufaham iyo BA in economics na ile BA in economics and statistics zinatofauti gan??
 
Nashukuru sana ila napenda kufaham iyo BA in economics na ile BA in economics and statistics zinatofauti gan??
ba eco nd statistics sio pure economics coz unakua unasoma units chache za uchumi na nyingine za statistics.
 
ila kama hesabu kwako ni mziki nisingekushauri usome econimics..ningekushauri uende huko bcom walau unaweza kupumua ingawa napo accounts huwa inawazingua sana.
 
mbona econometrics simple sana.. mwambie ajiandae na account AC100 na AC101 hapo ndo kasheshe inapoanza. Econometrics inakuja mwaka wa pili mtu ushazoea mazingira ya chuo
sasa unaita wenzio vilaza afu muda huo huo unasema ac100 na ac 101 ngumu wakati wenzio hapo tulipiga fresh.ungesema tu kila mtu ana kitu anachokiweza basi ila sio kuita wenzio vilaza.
 
Ahahahahaahah
Wataalam wa ecomometrx mambo ya logit n probit
kuna zile kitu za ec 216 chini ya dr mdabila na ec 218 chini ya dr naho nazo zilikua hatari sana.mwaka wa pili uliniendea vibaya sana nikataman kukimbia shule..ila walau ec 220 chini ya wale akina prof msambichaka na mosha ilikuja kuokia jahazi.dr nyoni nae na ec 217 alikua anazingua anasahihisha hadi spelling.kwenye kuopt nikakimbilia udbs asee.
 
sasa unaita wenzio ****** afu muda huo huo unasema ac100 na ac 101 ngumu wakati wenzio hapo tulipiga fresh.ungesema tu kila mtu ana kitu anachokiweza basi ila sio kuita wenzio ******.
Mi hata hiyo nilidufua vizuri tu maana zote nilikuwa na B+ vipi.. umesoma Economics UD? unaweza kuta tulikuwa class moja
 
Nashukuru sana ila napenda kufaham iyo BA in economics na ile BA in economics and statistics zinatofauti gan??
Kwa UDSM zote mbili zina kiwango sawa cha economic theory (Microeconomics and Macroeconomics) na econometrics lakini BA in economics ina more applied courses za uchumi (kama health, agricultural economics etc) where as BA econ & stat wana courses nyingi zaidi za hesabu na statistics (kama matrix algebra, Stochastic Process etc) ndio maana hii ya pili wanataka lazima uwe na ufaulu wa adv. maths wa D au zaidi.
 
Nashukuru sana ila napenda kufaham iyo BA in economics na ile BA in economics and statistics zinatofauti gan??
Ba in eco unakua una deal 100% na uchumi!! Wakati kwenye iyo ingine unakua unapiga uchumi na modules nyingi zaidi za statistics! Kama unajua uko vizuri maths basi nenda kwenye iyo yenye statistics
 
Dogo kama huna basic nzuri ya economics huku chini high school itabidi ufunge mkanda kweli hasa second year. Ila kiukweli economics ni course moja tamu sana mimi nilienjoy sana uwepo wangu campus ingawa at times mambo yalikuwa mengi mno units kibao. Mimi nilisoma economics hii ya kawaida pamoja na islamic economics. Mziki wake ulikuwa balaa. Ila nilienjoy cz nilikuwa na background nzuri sana ya uchumi.
 
islamic economics inasomwa chuo gani shehe?
 
Back
Top Bottom