Kuenguliwa wapinzani kumewapaisha kisiasa

Tumewaachia uchaguzi wao waendelee nao, walisha waengua wagombea wetu sasa wanataka nini...
 
CCM wakati mwingine mnatenda bila kufikiria; tayari mlishakuwa na ushindi wa 58%+ kwa maana ya kupita bila kupingwa; kwanini na hiyo 42% mtake kuichukua bila kushindanishwa? Ni vizuri mkawarudisha kwenye "benchi la ufundi" kina Mh. January na Nape; wao walikuwa hawatafuti ushindi wa 100% bali wingi wa viti (majority).
Magufuli akifanya kazi kwa mawazo yake binafsi na washauri wema aweza kuwa Rais mzuri, Tatizo lililopo sasa mshauri mkuu wa mtukufu magufuli ni Naibu Rais Daud Bashite ambaye ndiye humshauri mambo yote ya hovyo likiwemo hili la kuwahujumu wapinzani kwa kupitia watendaji wa kata, Sumu ya Maendeleo na Demokrasia Nchini inatokea kwa Naibu Rais Daud Bashite kwenda kwa mtukufu kisha inasambaa Nchini kwa Amri za mtukufu
 
Mimi huwa najiuliza sipati jibu Hivi vyama vya siasa vikubwa Chadema NCCR Cuf ACCT wakiamua kukaa Kimya wasiseme lolote wasiingie kwenye uchaguzi wala wasichukue form yyt ya uchaguzi Wakiacha ccm peke yake patatokea nini??? Maana rafu kila uchaguzi wanazilalamikia na njia ya kutibu rafu hizo haipo Na tayar wameshafikisha malalamiko Mengi kwenye mataifa makubwa hawajasaidiwa Hivi itatokea nini wakiamua kukaa Kimya
Mazingira yote yaiweka CCM ktk hiyo lawama.

Je tutaendelea kulaumu kisha maisha yaendelee au tuamue kutumia akili zetu kutafuta suluhisho lisilo la madhara kijamii?

Tuondoke kwenye siasa za lawama.
 
Magufuli akifanya kazi kwa mawazo yake binafsi na washauri wema aweza kuwa Rais mzuri, Tatizo lililopo sasa mshauri mkuu wa mtukufu magufuli ni Naibu Rais Daud Bashite ambaye ndiye humshauri mambo yote ya hovyo likiwemo hili la kuwahujumu wapinzani kwa kupitia watendaji wa kata, Sumu ya Maendeleo na Demokrasia Nchini inatokea kwa Naibu Rais Daud Bashite kwenda kwa mtukufu kisha inasambaa Nchini kwa Amri za mtukufu

INA maana Prince akisema ale nnya atatekeleza.!?

nikimtafakari anzia clip ya "watalimia meno" au ile.. "nusu ya wajumbe wangepotezwa" naona haya ya uchaguzi ni mepes

Prince na King ni Ndege wafananao tu hakuna tofauti
 
Mimi ni mwana CCM hai.

Kitendo cha watendaji/ wasimamizi wasaidizi kuwaengua wagombea zaidi ya asilimia 90 wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ni wazi kimeibua publicy sympathy dhidi ya wapinzani nchini.

Minong'ono iliyopo mitaani ambapo hata wanaCCM wengi wanaguswa na hili hivyo linaweza kusababisha kura za hasira kuiadhibu CCM endapo uchaguzi utafanyika baada ya maridhiano kati ya serikali na vyama vya siasa.

Mchakato wa uteuzi wa wagombea kupitia CCM uligubikwa na sintofahamu nyingi na hata kupelekea wagombea wengi wasiokubalika na wananchi kuteuliwa huku ubabe wa kuhakikisha ushindi ukifanyika.

Watendaji ama wasimamizi wa uchaguzi walipofanya maamuzi hayo, waliamini kuwa wanakisaidia Chama Cha Mapinduzi lakini uhalisia ni kuwa wamemsaidia chura kwa kumpiga teke.

Vyama vikubwa vya upinzani CHADEMA, ACT, CHAUMMA, NCCR MAAGEUZI vimejiengua kushiriki uchaguzi wa Novemba 24. Lakini Waziri mwenye dhamana ameagiza walioenguliwa wote warejeshwe kwenye orodha ya wagombea hivyo kuongezeka mkanganyiko zaidi.

Upigaji kura ni sehemu ndogo ya demokrasia ambapo maeneo mengine ni namna vyama na wagombea wanashiriki ama kushirikishwa kwenye michakato kwa njia za wazi na haki. Lakini kinachofanyika ni maamuzi yasiyoshirikisha pande zote kuu za uchaguzi. Ni maamuzi ama maelekezo ya upande mmoja pekee.

Ushauri.
Mosi.
Tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya Katiba na sheria wakutane na vyama vyote vya siasa kuweza kujadili mustakabali wa hili lililotokea kwa lengo la kutafuta suluhisho lake.

Pili.
Uchaguzi usitishwe kwanza ili kutoa nafasi kwa majadiliano na maafikiano ya vyama shiriki kisha tarehe itokane na maafikiano hato

Tatu.
Chama Cha Mapinduzi kitumie muda huo kushughulika na makandokando ya uchaguzi wa uteuzi kwa sababu upangaji ssfu za wagombea ni kansa inayokitafuna chama kwa muda mrefu.

Mwisho
Upinzani unapata nguvu sana sasa kuliko kipindi chochote kutokana na haya yanayotokea na haiyumkiniki inawezekana wapigakura wakakiadhibu chama tawala endapo hakutakuwa na juhudi za makusudi kirekebisha kasoro zilizojitokeza.

Msanii
Chadema uchaguzi huu wa mitaa ilisimamisha 19% wagombea nchi nzima!
Kweli upinzani unakua;
Pamoja na kuvunja kanuni mkakosea kujaza fomu lakini serikali imeawaonea huruma, njoo basi kwenye uchaguzi mpate kura za huruma!
Ndugu yangu, upinzani uliondoka na Dr Slaa
 
Ndugu yangu, upinzani uliondoka na Dr Slaa, hawa akina Fulani ni ruzuku tu
 
Msanii je watakusiliza??
Ni kama dereva anaambiwa gari bovu usiendeshe simama utemgeneze weka maji kwenye injini yeye anaziba masikio mwisho anakaanga injini ni mwisho wa safari. Viashiria viko wazi wasizibe masikio.
Wasikilize ushauri labda Jafo anamuogopa Boss wake, wazee kina Mangula &Co wamsaidie.
Tz yetu wote tusivuruge urithi wetu tujenge utaifa kuliko vyama!!
 
Nimeshauri tu
Mwenye kupokea ushauri anaangalia namna ya kuutumia au akautumia ushauri kuja na njia zake za utatuzi.

Nimeshauri kwa nia njema kwani nikiwa mwanaCCM maogopa sana yanayoweza kutokea endapo demokrasia ikashindwa kabisa
Msanii je watakusiliza??
Ni kama dereva anaambiwa gari bovu usiendeshe simama utemgeneze weka maji kwenye injini yeye anaziba masikio mwisho anakaanga injini ni mwisho wa safari. Viashiria viko wazi wasizibe masikio.
Wasikilize ushauri labda Jafo anamuogopa Boss wake, wazee kina Mangula &Co wamsaidie.
Tz yetu wote tusivuruge urithi wetu tujenge utaifa kuliko vyama!!
 
Ni sahihi usemayo. Kuna mtaa nimepita tokea nihamie hapa huu mwaka wa nne sijawahi sikia wakiongea siasa. Leo wanaiongea na kusifia umoja wa wapinzani.

Hii move imeibeba sana upinzani
 
Inawezekana nikashughulikiwa.

Lakini naamini wakubwa huko watakuwa wameona zaidi ya haya tunayoyaona sasa lakini guts ndo ikawa kikwazo

Mkuu Msanii habari za siku nyingi, umeadimika mkuu, umeona mbali ila huenda ukapingwa sana, usiogope hakuna atakayekushughulikia kwani ukweli huo wanaufahamu wote.
 
Msanii kwani CCM inaogopa kura ya mwananchi?
Usiwe na wasiwasi wananchi wakupigieni au wasikupigieni kura anayematter ni mtangazaji wa matokeo
 
Uwazi ama kutokuwa na uwazi wa wagombea wao siyo issue kwa sababu kila chama kina utaratibu wake wa uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali.

Endapo sheria ya msajili wa vyama ikaongeza kipengele cha namna mgombea anavyoteuliwa kutoka vyamani hapo watakuwa wamefungwa na sheria.

Tartibu ndani ya CCM siyo sheria ya nchi bali inawezekana zikawa adopted kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Nakishauri Chama changu kutafakari haya na kuiangalia mustakabali wa Tanzania ya kesho...

Nachelea kuvilaumu vyama pinzani kwasababu kilinachofanyika kwenye chaguzi nyingi za kitaifa huacha malalamiko na sintofahamu. Tuanze kusafisha kikombe ndani kwanza ili nje kiwe safi....
Yawezekana hapa na pale kulikuwa na mchezo mchafu. Kama ni hivyo najiuliza maswali kadhaa:
1) Je, wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wanachama au wanashabikia CCM?
2) Wagombea walioenguliwa kugombea, je, wanajua sheria, kanuni na taratibu za kuomba kugombea?
3) Viongozi wa vyama vya siasa vyenye wagombea walioenguliwa, je, wanajua sheria, kanuni na taratibu za kuteua wagombea?
4) Je, viongozi wa vyama hivyo vya siasa wanajua athari za maamuzi yao ya kutokushiriki katika uchaguzi na kutokushirikiana na viongozi watakaochaguliwa, katika maendeleo na shughuli zao za kila siku?

Baadhi ya matukio yaliyo wazi kupelekea kujiuliza maswali hayo ni matamko ya viongozi wa vyama vya siasa, vilivyotangaza kujiondoa pasipo kufuata/kuheshimu sheria, taratibu na kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Km mgombea, baada ya kudhaminiwa na chama chake cha siasa, ndiye mwenye kuwajibika kujaza fomu, kuiwasilisha, kuweka pingamizi na kukata rufaa pale ambapo hakutendewa haki.

Hivyo basi, kama viongozi hao wanaheshimu Katiba, Sheria na Kanuni (misingi mikuu ya demokrasia) wangetoa mwanya kwa wateuliwa wao kufuata sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi wa Setikali za Mitaa kwanza.

Ni wazi basi kwamba nyuma ya pazia la kususia uchaguzi huo kuna mambo km kukosa fedha ya kudhamini wagombea wao kuendesha kampeni na kuweka mawakala au kuogopa aibu ya kushindwa vibaya.

Ikumbukwe matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwakani unategemea matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa km uhamasishaji katika kampeni na kupiga kura.
 
Mimi ni mwana CCM hai.

Kitendo cha watendaji/ wasimamizi wasaidizi kuwaengua wagombea zaidi ya asilimia 90 wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji ni wazi kimeibua publicy sympathy dhidi ya wapinzani nchini.

Minong'ono iliyopo mitaani ambapo hata wanaCCM wengi wanaguswa na hili hivyo linaweza kusababisha kura za hasira kuiadhibu CCM endapo uchaguzi utafanyika baada ya maridhiano kati ya serikali na vyama vya siasa.

Mchakato wa uteuzi wa wagombea kupitia CCM uligubikwa na sintofahamu nyingi na hata kupelekea wagombea wengi wasiokubalika na wananchi kuteuliwa huku ubabe wa kuhakikisha ushindi ukifanyika.

Watendaji ama wasimamizi wa uchaguzi walipofanya maamuzi hayo, waliamini kuwa wanakisaidia Chama Cha Mapinduzi lakini uhalisia ni kuwa wamemsaidia chura kwa kumpiga teke.

Vyama vikubwa vya upinzani CHADEMA, ACT, CHAUMMA, NCCR MAAGEUZI vimejiengua kushiriki uchaguzi wa Novemba 24. Lakini Waziri mwenye dhamana ameagiza walioenguliwa wote warejeshwe kwenye orodha ya wagombea hivyo kuongezeka mkanganyiko zaidi.

Upigaji kura ni sehemu ndogo ya demokrasia ambapo maeneo mengine ni namna vyama na wagombea wanashiriki ama kushirikishwa kwenye michakato kwa njia za wazi na haki. Lakini kinachofanyika ni maamuzi yasiyoshirikisha pande zote kuu za uchaguzi. Ni maamuzi ama maelekezo ya upande mmoja pekee.

Ushauri.
Mosi.
Tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya Katiba na sheria wakutane na vyama vyote vya siasa kuweza kujadili mustakabali wa hili lililotokea kwa lengo la kutafuta suluhisho lake.

Pili.
Uchaguzi usitishwe kwanza ili kutoa nafasi kwa majadiliano na maafikiano ya vyama shiriki kisha tarehe itokane na maafikiano hato

Tatu.
Chama Cha Mapinduzi kitumie muda huo kushughulika na makandokando ya uchaguzi wa uteuzi kwa sababu upangaji ssfu za wagombea ni kansa inayokitafuna chama kwa muda mrefu.

Mwisho
Upinzani unapata nguvu sana sasa kuliko kipindi chochote kutokana na haya yanayotokea na haiyumkiniki inawezekana wapigakura wakakiadhibu chama tawala endapo hakutakuwa na juhudi za makusudi kirekebisha kasoro zilizojitokeza.

Msanii
Msiogope. Lazima ccm ishinde hata ikibidi goli la mkono! Mmesahau????
 
Tamko la jioni la Jafo amebariki walioenguliwa wasishiriki uchaguzi kwa hiyo tamko la jana ni batiri
 
Chujio muhimu sana

Back
Top Bottom