CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Unafikiri wana raha hao...ukifika usiku kama jehanam imeingia, tena kama Kongosho kwake ameweka patisheni chumbani mume huku mke kule.....tule maisha kwanza
Umeeleweka my dear, kila kitu na muda wake, muda ukifika utaingia tu...... karibu in advance!no Fixed Point c lazma yawe km yako kwa 100% hapo ninamaanisha maisha ya kuwa mama tena mwenye majukumu na anayetambua wajibu wake kwa mumewe na wanawe!
Unafikiri wana raha hao...ukifika usiku kama jehanam imeingia, tena kama Kongosho kwake ameweka patisheni chumbani mume huku mke kule.....tule maisha kwanza
utazimia zaidi ukikuta umepewa jina fulani hivi. kuna mama wadada wake walikuwa wanamuita "Mkomunist" lol
anakutisha tu mwayegomh,unaanza kunitisha mbna..?
ha haaaaaaaaaaaa, kulia huwezi, kucheka huwezi............. ndo ushapewa jina hivyokuna mdada alikuta ameitwa kiungo cha kike,chezea mahg weweeee
shangaaaaaa, chezea mke wa mtu.............. si unajua siku hizi watu wanataka wake za watu..................... hakuna commitment wala kusumbuana usiku mkali. kila mtu anakuwa na wake mida hiyoha ha haa hata sijui alikuwa na nani huko zamani...
kwani wewe uko single? mbona anakuogopa hivyo?
mama yangu mdogo ni sista wa kanisani na kilemba kabisa, anaishi na hausgal wake, jamani cku moja kenda zake sokoni, kamuacha hausgal afue, lol alishangaa kumkuta hausgal kavaa nguo za kisista na kilemba kabisa busy anafanya usafi na kusafisha banda la ng'ombe! wadada wanavibweka acha kabisa!hivyo vimodo unafikiri vina shida na hela? hata kidogo. kila kitu vinapata, na shule vinaenda, basi tu vibweka vyao
he he he, unatamani iwe hivyo lol
hebu muoe huyo CL, usimfanye nungayembe bure
ha haaaaaaaaaaa, huyo wa kuvaa nguo zangu ni balaa............... usikute siku nyingine mchana wanapumzika vitandani kwetumama yangu mdogo ni sista wa kanisani na kilemba kabisa, anaishi na hausgal wake, jamani cku moja kenda zake sokoni, kamuacha hausgal afue, lol alishangaa kumkuta hausgal kavaa nguo za kisista na kilemba kabisa busy anafanya usafi na kusafisha banda la ng'ombe! wadada wanavibweka acha kabisa!
anakutisha tu mwayego
all the best kuvumbuanaMsimtie presha my chic ice vannila...........tunavumbua kwanza halafu tunajitambua tunamalizia kula pensheni
ha haaaaaaaaaaaa, kuna mtu huku jamani anatishia kupiga chini mwenziectishiki ng'o,afu akicheza naye nampiga chini kha!
mh,unaanza kunitisha mbna..?
ha haaaaaaaaaaa, huyo wa kuvaa nguo zangu ni balaa............... usikute siku nyingine mchana wanapumzika vitandani kwetu