Danken Mbombo
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 651
- 339
mnataka mfanye makosa barabarani halafu trafik wawashangilie...wabongo tumezidi kudharau sheria acha watunyooshe.utakuta dereva anaona taa nyekundu inawaka akiona hakuna trafik anapita tu kama zuzu.. Tuheshimu sheria za barabarani tusisubiri kusimamiwa na trafik