ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Mbali ya foleni zisizotembea kuna hawa wajomba wanaosimama barabarani sipendi kuwataja ila dereva yeyote ashawaelewa yaani sasa ukikuta sehemu foleni hakuna unashukuru, ghafla unawakuta hawa tena wapo lundo! Hii inakua bora utumie daladala na bodaboda uache gari home kiasi mambo yako yaweza enda haraka!