Kuelekea uundwaji wa katiba

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
katika pita pita zangu nimekutana na picha hii When African President dies.jpg
 
Ina maana huyo Miraji ndo Kaichora? imechorwa na Nguli Godfrey Mwampembwa aka GADO, na inatoka gazetini huyo RIZ1 wako ana haki miliki ya michoro ya GADO?
na hapa ndipo wabongo sababu ya kutokutafuta maarifa tunaishia kuamini kuwa aliyeintroduce kitu ndiye mwenye nacho badala ya kujua sources zake.

Cartoon imekaa vizuri sana na kitu ambacho GADO amefanikiwa ni kutengeneza cartoon ambazo nina identity za watu kama na nafasi zao. mfano mafisadi (hilo fisi), wanasiasa, na 'Wanjiku' ambaye hapa simuoni

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom