Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Mazito na ya kustaajabisha yanaenda kujiri nchini

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
2020 usishangae kuona yatakayotokea nchi inaenda kubadilika rangi na kuanza upya

Utakua ni mwaka wa kuheshimiana sio tu kisiasa bali nyanja zote

Kwa kuichukia ccm niiteni tu wakala wa mabeberu ila nachukia udikteta wa kipumbavu sana

Kuna watu watacheka watadharau hili bandiko ila oneni kwa macho kinachoenda kujiri

Zanzibar mwaka ujao wakati wa uchaguzi patachafuka haswa pemba

Mitandao itazimwa karibia na uchaguzi

Yatatokea matukio ya wizi wa kura na kura feki

Haitajalisha ni nini na nani ila lazima ufunuo wa Tanzania utimie

Keep watching...get ready stone boy
 
Yametimia !
 
Aisee
 
#Tanzania

@ChademaTz Sec. General @jjmnyika reports that two citizens have been killed at Matongo after the ruling party CCM Nyabichume village Chair Mogaya Ryoba opened fire when he stormed a political meeting in Nyamongo, Tanzania.
IMG_20201028_002359.jpg
 
2020 usishangae kuona yatakayotokea nchi inaenda kubadilika rangi na kuanza upya

Utakua ni mwaka wa kuheshimiana sio tu kisiasa bali nyanja zote

Kwa kuichukia ccm niiteni tu wakala wa mabeberu ila nachukia udikteta wa kipumbavu sana

Kuna watu watacheka watadharau hili bandiko ila oneni kwa macho kinachoenda kujiri

Zanzibar mwaka ujao wakati wa uchaguzi patachafuka haswa pemba

Mitandao itazimwa karibia na uchaguzi

Yatatokea matukio ya wizi wa kura na kura feki

Haitajalisha ni nini na nani ila lazima ufunuo wa Tanzania utimie

Keep watching...get ready stone boy
Wewe ni nabii aisee....
 
Kwa sababu vyote ulivyovieleza vimeshatokea na vingine vinaenda kutokea.
 
Back
Top Bottom