ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 59
- 52
KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ISMANI TAR 11/5/2026
Umoja wa Vijana chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Vijijini (UVCCM) utakutana kwa ajili ya Jogging na vijana ndani ya tarafa ya Pawaga, Kata ya Itunundu jumamosi tarehe 9/5/2026.
Mgeni Rasmi
Ndugu Anord Mvamba
Katibu Siasa, Uenezi Na Mafunzo CCM Wilaya Iringa Vijijini
Sisi wana-Ismani
Tutamchagua Emmanuela Mtafikolo
kwa Maendeleo Ya Jimbo la ISMANI
#IsmaniNaMaendeleo
#KaziNaUtuTunasongaMbele