FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,911
- 109,267
Kwani muda ukiisha kuna tatizo lipi? Si unanunuwa SIM card mpya na kuisajili hapo hapo?Wadau,Niko hapa maeneo ya mbagala mwanamtoti natoka kwenye pilika zangu,mpaka saa hizi naandika huu uzi ,saa moja na dakika hamsini na sita,Bado Kuna watu wamejazana katika vituo vya kusajilia laini za simu.
Mida mchache ujao tutasikiliza taarifa ya habari sijui,E-1 ataongeza muda Tena au ndo imetoka.
Hebu tuendelee kula mtori ,nyama tutazikuta chini.
Wenye updates za usajili watuletee kuitia uzi huu.
Cc,ziro iq.
Sent using Jamii Forums mobile app