Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Heshima Kwenu,
Kwa sasa Kenya ndiyo wanauza bidhaa nyingi Tanzania kuliko tunavyouza kwao. Kenya huuza kwa wingi hata nje ya Afrika. Mathalan takwimu toka Kenya National Bureau of Statistics kwa mwaka 2014 Juni zinaonesha kuwa Kenya ili export kwenda USA bidhaa zenye thamani ya Ks 3.7 bil au $ 41.8 milioni ;kwenda Tanzania bidhaa zenye thamani ya Ks 2.8 bil au $ 31.6 mil na kwenda Uganda bidhaa zenye thamani ya Ks 2.5 bil au $ 28.3 mil. Uganda imepunguza kuagiza bidhaa toka Kenya kuliko ilivyokuwa awali.
Kitu cha kushangaza ni kuwa pamoja na wenzetu kuuza sana kwetu, wameamua kuzuia bidhaa toka Tanzania kama vile unga wa ngano. Hii ni kwa mujibu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA. Mamlaka hiyo imetoa taarifa kuwa ikiwa Kenya wataendelea kufanya hivyo, TRA nayo itazuia bidhaa toka Kenya(taarifa ya habari ITV saa mbili usiku huu).
Hawa jamaa si watu wa kuwaamini sana. Hawa ndiyo walihusika kuvunjika Jumuiya ya Afrika Mashariki mnamo 1977.Kuna waziri wao alisherehekea kwa kunywa mvinyo jumuiya iliposambaratika. Sijawahi kuwaamini Wakenya. Ni much know. Kama mbwai na iwe mbwai!