Kuelekea EAC: Kenya wanazuia bidhaa toka Tanzania

Protocol za mazao ya kilimo/biashara zikoje? Mbona Tanzania inazuia kuuza kahawa Uganda pamoja na Uganda kununua kwa bei nzuri?
 
Ila kwa sasa tz inapeleka bidhaa nyingi kenya, mfano kwa sasa cement, bidhaa za akina jambo, azam, na mo zinauzika sana kenya kupitia mpaka wa Sirari-tarime kwa mara ya kwanza naona Cement ya tz inavushwa kwenda kenya, sukari ndio usiseme had serikar ya tz inazuia
 
Tunaoishi jirani na Kenya hapa Sirari Tarime tunawajua tabia zao,wakenya ni watu Wa ajabu sana
 
nasikia hata gesi kutoka tz wamezuia walianza hivihivi kwenye magari yetu ya kubeba watarii tukazuia ndege zao wakaja ooh tukae kwenye meza ya mazungumzo yakaisha sasa wamehamia kwenye bidhaa kwani hapo awali mbona tulikuwa tunaziuza!? huwa wanapenda kujaribu wakifanikiwa ndo inakuwa imetoka hiyo wanendelea kudominate kwetu na kwao so serikali haipaswi kulala wafuatilie haya mambo....
 
Kenya hawakuhusika na kuvunjika na EAC bali kuporomoka kwa uhusiano kati ya Nyerere na Idi Amin Dada wa Uganda.

Kumbuka kipindi hicho tuliwaita "manyang'au" kutokana na wao kunufaika zaidi na EAC kwa hiyo hawakuwa na sababu ya kuivunja bali kuimarisha ili wanufaike zaidi
Ahsante Mkuu ,nitafuatilia.
 
Back
Top Bottom