On the contract, we are working hard to ring the necessary reforms in the party so that when we win election in 2015 we are all new and ready to lead the nation to a promised land...mind you we would have a new constitution, and if we put in place a good team, we definitely would take us to a whole another level!
I have always never failed amaze other pessimists like you in the past...stay put!Akili za wabunge wa CCM uwa zinanipa tabu sana kuzielewa, sijui uwa wanakuwa wapiga viloba wanapokuwa wanatoa hoja? Hivi Kigwangala aliyepitishwa kwa zengwe kwenye kugombea ubunge na kushinda kwa zengwe ndio anakundi lenye ushawishi? Kama alishindwa kuwashawishi wanachama wa chama chake kule jimboni mpaka akapewa kiti cha upendeleo(special sit) ataweza kuwashawishi watanzania mil.45+
Bora hata mimi naumiza kichwa na kutumia muda wa ujana wangu kutafuta suluhisho la uongozi wa Taifa letu, hivi wewe unajaribu nini? ...labda kukesha kwenye fikra za historia isiyo na faida yoyote kwako...eti kura za maoni...leo 2012...wewe bado uko 2010...duh! Kalagabahokigwangala kwanza kura za maoni alikuwa wa tatu. hayo makundi sijui yanasaidia nini. badala ya kutafuta suluhisho la migomo na upandaji wa garama za maishia wanabaki kuanzisha makundi yasiyokuwa na msing
Huyu Kigwangwallah kula za maoni za Ubunge tu zimemshinda, halafu anazungumzia ushawishi wa nafasi ya Urais!