fige
JF-Expert Member
- Jul 4, 2010
- 376
- 61
kila mwenye hoja hafifu kuhusu cdm anataja 'demokrasia ya ndani ya chama'.kwani nini maana ya demokrasia?ni change political figure au ni achievement of common goal through any of the group members presiding? Nadhani malengo,kazi za kichama na mengine mengi yanafanikiwa vizur chini ya hao waliopo,ni kweli ni vzuri kubadili uongozi baada ya muda fulani lakini si swala la lazima kiasi hiki. Au kuna mamluki?
Ni kweli mkuu kuna filosofia inasema usibadilishe kipuri wakati hakijaleta shida(kinafanya kazi vizuri).kwa sababu hata vipya vinaweza visifanye kazi vizuri kama cha zamani.