Kuelekea 2015, tuna kundi jipya la urais CCM - Kigwangalla

CCM haina mtu mwenye mvuto kwa kupambana na DR. Slaa. Cha msingi wacheze na masanduku. ya kura
 
Dr Hamisi
Kamwe ccm haiwezi kumsimamisha mgombea Urais kijana na tusitegemee jina jipya sana lazima tuwe tumeshalizoea tena kwa mabaya na mfumo wenu wa kumpata mgombea una mapungufu sana.
Anzeni kubadili mfumo kwanza labda huyo kijana wetu atasogeasogea otherwise atabaki mioyoni mwenu mi upande wangu japokuwa sishiriki vikao halali vya maamuzi ni mwandosya airline
 
On the contract, we are working hard to ring the necessary reforms in the party so that when we win election in 2015 we are all new and ready to lead the nation to a promised land...mind you we would have a new constitution, and if we put in place a good team, we definitely would take us to a whole another level!

Afte election you are all new...... Mmh! Where and how are you going to lock these old chaps like wasira?
 
kigwangala kwanza kura za maoni alikuwa wa tatu. hayo makundi sijui yanasaidia nini. badala ya kutafuta suluhisho la migomo na upandaji wa garama za maishia wanabaki kuanzisha makundi yasiyokuwa na msing
 
Akili za wabunge wa CCM uwa zinanipa tabu sana kuzielewa, sijui uwa wanakuwa wapiga viloba wanapokuwa wanatoa hoja? Hivi Kigwangala aliyepitishwa kwa zengwe kwenye kugombea ubunge na kushinda kwa zengwe ndio anakundi lenye ushawishi? Kama alishindwa kuwashawishi wanachama wa chama chake kule jimboni mpaka akapewa kiti cha upendeleo(special sit) ataweza kuwashawishi watanzania mil.45+
 
I have always never failed amaze other pessimists like you in the past...stay put!
 
kigwangala kwanza kura za maoni alikuwa wa tatu. hayo makundi sijui yanasaidia nini. badala ya kutafuta suluhisho la migomo na upandaji wa garama za maishia wanabaki kuanzisha makundi yasiyokuwa na msing
Bora hata mimi naumiza kichwa na kutumia muda wa ujana wangu kutafuta suluhisho la uongozi wa Taifa letu, hivi wewe unajaribu nini? ...labda kukesha kwenye fikra za historia isiyo na faida yoyote kwako...eti kura za maoni...leo 2012...wewe bado uko 2010...duh! Kalagabaho
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom