KUELEKEA 2015: IGUNGA Kielelezo cha ukomavu wa siasa ya Tanzania

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
UTANGULIZI: Ndugu zangu wanajamiiforum wenzangu haswa wa Jukwaa hili pendwa la siasa nawasalimu!
Mtakubaliana nami kwamba tangu ndugu Rostam Azizi alipojihudhuru Ubunge wa Jimbo la Igunga mengi yameandikwa na kujadiliwa sana, sio tu hapa jamvini bali hata katika vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi kama vile BBC, VOA, RFI, Dutch wele etc, Na mengi yataendelea kuandikwa na kuzungumza ktk vyombo hivi haswa katika kipindi hiki cha kampeni ya uchaguzi.

TATHIMINI YANGU:
Kulingana na maandalizi yafanyayo na vyama husika vishiriki vya siasa katika Uchaguzi yani CCM, CHADEMA, na CUF ikiwamo matumizi ya helikopta, Makada wake mashuhuri ambapo Mh. Rais mstaafu Benjamin Mkapa atakuwepo katika uzinduzi wa chama chake cha CCM, Prof. Lipumba na Maalim Seif Sharifu Hamad kwa upande wa CUF, na Dr. Slaa, Mbowe, Tundu Lissu na Zito kabwe kwa CHADEMA inatupa picha nikwakiasi gani uchaguzi huu utakavyokuwa na ushindani mkubwa. Na nadhani ni uchaguzi utakaotupa picha shughuri ya 2015 itakuwaje.. So uchaguzi huu ni muhimu kwa vyama vyote vya siasa pia kwa watanzania wote wapenda maendeleo ya nchi yetu!

KUHUSU NEC:
Ni mategemeo yetu wengi kuwa Tume ya Uchaguzi itakuwa makini this time kuhakikisha kuwa haki inatendeka kwa kufanya Uchaguzi ulio huru na wenye kufuata kanunu za kidemokrasia, sitegemei kusikia zile lawama ambazo tumekuwa tukizisikia katika chaguzi zilizopita kwani nategemea maandalizi ni mazuri.

HITIMISHO: Mwisho napenda kufungua mjadala kwa wote ambao kwa pamoja mwakubaliana nami juu ya umuhimu wa uchaguzi huu kutoa maoni na tathimini zenu, expectation zenu na ushauri kwa vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi mdogo huu. Kwa wale wenye mawazo ama mtazamo tofauti pia wanaruhusiwa na wapo huru kuchangia!

Je kwenda kwa Mkapa Katika Ufunguzi wa kampeni za igunga kutaongeza ushindan?

yaaah!tena sana na ndo maana cuf na cdm wameanza kuhaha,yule mzee mkapa kichwa,hv umewah kuckia hotuba zake?uckose kuangalia tbc kla ck kpnd cha habar,ndo utamjua vema

Je unaamini kuwa uchaguzi wa Igunga waweza kuwa ndio turning point ya siasa za tanzania kuelekea 2015 general election? Nimjuavyo mkapa ni mtu mwenye jazba na mkali sana, anaweza leta ugomvi mkubwa sana na makada wenzie bt anabusara!

Juzi kama sikosei clouds fm kipindi cha jahazi walikuwa wanamuhoji Nape kuhusu kuwepo kwa Ben mkapa ktk ufunguzi,kama amekanusha kimtindo kama jamaa hatokuwepo,na akasema wao kama chama hawakumuomba rostam aziz awasaidie kwenye kampeni ila chama kama chama walitoa maombi kwa makada wote wa chama kusaidia kwenye kampeni na kwa majibu ya nape hawajataja majina nani nani asaidie ila kwa wanachama wote,ngoja tuone itakuwaje,mpaka sasa magamba wamekiuka taratibu za uchaguzi wanatakiwa kutumia mil 80 kwenye uchaguzi huu ila bajeti ya chama ni mil 400.

Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.

yawezekana ukawa na +effect towards general election 2015,mzee yule ni wa ukwl sema tu sisi watanzania n wepes wa kulaumu,juz nlikuwa nasoma profile yake inatisha ndo mana UN wanampa kaz nying,kwa igunga wananch wameshaanza kubain umuhmu wa mkapa hasa kpnd cha uongoz wake maisha was so simple to be afforted by all class,upo?

yaaah!tena sana na ndo maana cuf na cdm wameanza kuhaha,yule mzee mkapa kichwa,hv umewah kuckia hotuba zake?uckose kuangalia tbc kla ck kpnd cha habar,ndo utamjua vema
mkuu, what went wrong baada ya kipindi cha KICHWA big Ben kuisha mkaweka MKIA badala ya KICHWA tena???
Mlihongwa au ilikuwaje mkuu??

Juzi kama sikosei clouds fm kipindi cha jahazi walikuwa wanamuhoji Nape kuhusu kuwepo kwa Ben mkapa ktk ufunguzi,kama amekanusha kimtindo kama jamaa hatokuwepo,na akasema wao kama chama hawakumuomba rostam aziz awasaidie kwenye kampeni ila chama kama chama walitoa maombi kwa makada wote wa chama kusaidia kwenye kampeni na kwa majibu ya nape hawajataja majina nani nani asaidie ila kwa wanachama wote,ngoja tuone itakuwaje,mpaka sasa magamba wamekiuka taratibu za uchaguzi wanatakiwa kutumia mil 80 kwenye uchaguzi huu ila bajeti ya chama ni mil 400.
Mkuu, CCM huwa wanamwaga fedha kwenye chaguzi ndogo.....ni balaa tupu!!!
hawana time na wananchi wa Igunga, wao wanataka kuonyesha umma kwamba CCM ina nguvu no matter what!!!

mkuu, what went wrong baada ya kipindi cha KICHWA big Ben kuisha mkaweka MKIA badala ya KICHWA tena???

Mlihongwa au ilikuwaje mkuu??

nashukuru kuwa umetambua umhmu wa mzee mkapa,yan bila mtima nyongo sielewi serkal ya jk inampeleka wapi mwananch mackn bla sha leo umeckia bei ya sukar shs 2500,tulijua atafata nyao za mzee ben,hv kwl alpata kununulhwa suti?habar hii ya wikleaks imentia simanz mkuu

ccm hata wakisaidiwa na makada wote wa chama, hawana jambo la kujinadi, wanaigunga hawako tayari kulaumiwa na watanzania kwa kurubuniwa na chama kilichofeli kimkakati na kiutekelezaji. vijana wengi wanajua kuwa kamishna wa madini amefeli kuyaweka madini yetu mikononi mwetu, tunategemea kamrahaba kwenye mali yetu, mkapa kabla hajapanda jukwaani awajibu net group solution ilitupatia faida gani nao walikomba bei gani! ccm haikuyaamini makampuni ya kitz kukusanya madeni na kura wakapewe huko huko sauzi. wanaigunga wanaiamini c lakini si ccm.

yawezekana ukawa na +effect towards general election 2015,mzee yule ni wa ukwl sema tu sisi watanzania n wepes wa kulaumu,juz nlikuwa nasoma profile yake inatisha ndo mana UN wanampa kaz nying,kwa igunga wananch wameshaanza kubain umuhmu wa mkapa hasa kpnd cha uongoz wake maisha was so simple to be afforted by all class,upo?

mkapa ni mzee wa mitungi, hamna kitu mule, mtu wa dili huyo.

Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.

siku ya kutangaza matokeo hata akipewa jukumu hilo rost-ham atamtangaza mgombea kupitia cdm ndiye mshindi, rost anajua ubabaishaji wa magamba na umemchosha.

Siasa afanyazo Nape kwa kiasi fulani siziamini, coz amekua akikanusha sana mambo na kupishana na wenzake katika maongezi. request ya mkapa kwenda Igunga imaamuliwa na sekretariat/kamati ya uchaguzi igunga, Kukanusha kwa Nape tusiamini sana. ngoja tusubiri tuone itakuwaje bt tujadili endapo ataenda!
Juzi kama sikosei clouds fm kipindi cha jahazi walikuwa wanamuhoji Nape kuhusu kuwepo kwa Ben mkapa ktk ufunguzi,kama amekanusha kimtindo kama jamaa hatokuwepo,na akasema wao kama chama hawakumuomba rostam aziz awasaidie kwenye kampeni ila chama kama chama walitoa maombi kwa makada wote wa chama kusaidia kwenye kampeni na kwa majibu ya nape hawajataja majina nani nani asaidie ila kwa wanachama wote,ngoja tuone itakuwaje,mpaka sasa magamba wamekiuka taratibu za uchaguzi wanatakiwa kutumia mil 80 kwenye uchaguzi huu ila bajeti ya chama ni mil 400.

mkuu mkapa yupo safi sana katika siasa za bongo then anaaminika kwa msimamo na maamuzi yake ktk ccm!

mkapa ni mzee wa mitungi, hamna kitu mule, mtu wa dili huyo.

so who is the king in Tanzania politics? Rosta Aziz? vyamavya siasa? Uchaguzi au Wananchi? fafanua pls!
Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.

mkuu, what went wrong baada ya kipindi cha KICHWA big Ben kuisha mkaweka MKIA badala ya KICHWA tena???
Mlihongwa au ilikuwaje mkuu??
Kuhusu Ben sina shaka na utendaji wake uliotukuka.. hofuyangu ni ushiriki wake ktk siasa coz alisha sema yeye si mwanasiasa tena, then record yake inaonyesha hata katika uchaguzi mkuu 2010 ushiriki wake ulikua mdogo sana! alishiriki siku ya kufunga tuu then aliharibu kwa kuwaita wapinzani kokoto!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom