KUELEKEA 2015: IGUNGA Kielelezo cha ukomavu wa siasa ya Tanzania

Kutumika kwa mkapa hakuwezi badilisha kuchokwa kwa CCM na wananchi wa Tanzania ila ninachokiona CCM wanatumia nguvu nyingi sana ktika uchaguzi mdogo hiiinaonyesha kwamba vyama vya upinzani ni tishio kwa CCM kiwa sasa na kwa wakati ujao. Mimi sitaki kusema hasa nani atashinda ila nadhani hayo yote ni katika mchakato wa kuelekea kuikomboa nchi yetu mikononi mwa kenge ambaye ni CCM.
 
Kwa maana Igunga ni fraction tu ya watanzania, lkn pia inaonyesha jinsi viongozi wa CDM walivyo makini katika maswala muhimu. Kinachoweza kutokea hapa Mh. Mkapa anaweza kaishia kuzomewa tu na wananchi wenye hasira na dhuluma ya CCM dhidi yao lkn hebu tusubiri tuone.
 
Kamwe hiki hakiwezi kuwa kipimo cha uchaguzi wa mwaka 2015 kwa sababu kwamtazamo wangu chama cha magamba kila uchaguzi mdogo wanacheza rafu sanaaa ukizingatia DED yeyote yule hawezi kukubali kupoteza.

Ukurugenzi wake eti Fair election hilo tusahau tazama tu kuna sheria ya uchaguzi na gharama zake lakini jamaaa wanapanga kutumia milion 400 unafikiri za nini kama sio kununua watu hasa wasimamizi njaa waalimu na wale watumishi wa DED na mapolisi wetu.

HAPA SI KIPIMO
 
Kamwe hiki hakiwezi kuwa kipimo cha uchaguzi wa mwaka 2015 kwa sababu kwamtazamo wangu chama cha magamba kila uchaguzi mdogo wanacheza rafu sanaaa ukizingatia DED yeyote yule hawezi kukubali kupoteza Ukurugenzi wake eti Fair election hilo tusahau tazama tu kuna sheria ya uchaguzi na gharama zake lakini jamaaa wanapanga kutumia milion 400 unafikiri za nini kama sio kununua watu hasa wasimamizi njaa waalimu na wale watumishi wa DED na mapolisi wetu. HAPA SI KIPIMO

TURNING POINT YA SIASA ZA BONGO: inajumlisha na kutokuchezwa kwa Rafu. Tume ya Uchaguzi twategemea kutenda haki!
 
Igunga mshindi ni yule atakae amua kama inavyosemekana alivyoamua ni nani awe Rais wa Tanzania (king maker). Hakuna ubishi hapo.
<br />
<br />
binafsi sijakuelew who is king maker?. Simjui let me know him/her.
 
PICHA ZA UCHAGUZI wa 2015 zitakuwa kwenye taswira nyingi kwa upande wa ushindani katika uchanguzi huu,utatoa picha/ ingawa 2015 ushindani utakuwa mkali zaidi, ila kiushindi sio lazima mshindi wa sasa ( CHAMA) ndo awe mshindi 2015, PICHA halisi ya ushindi tutapata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2012.
 
Kutokana na bunge la sasa kuwa the most vibrant kupata kutokea kwenye historia ya mabunge hapa nchini, na sababu kubwa ikiwa ni effectiveness ya wabunge wa upinzani, it is only logical kwa wana-Igunga kumchagua mmoja wa wapinzani.

So kwa CV hii (minus mbinu za kifisadi za CCM zilizochangyanywa na uharamia sugu wa hii NEC) kuna uwezekano wa >90% kwa wapinzani kushinda.
 
nadhani tutakuwa na by election zaidi ya moja kwa kuwa kuna kesi nyingi nadhani kuna baadhi ya majimbo yatatenguliwa, kipimo ni uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji na vitongoji.
 
nadhani tutakuwa na by election zaidi ya moja kwa kuwa kuna kesi nyingi nadhani kuna baadhi ya majimbo yatatenguliwa, kipimo ni uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji na vitongoji.
<br />
<br />
Hizi By election dah! hazitabiriki mktbwa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom