sawa haivuji tunamshukuru sana lakini kuna tatizo kubwa kwa ndalichako kubwa ambalo kwa ujumla ni ustawi wa wanaosahihisha mitihani hiyo.Kusema ukweli siasa ni nyingi kwenye suala hili kiwango cha pesa walimu wanaosahihisha mitihani ni ndogo sana kiasi kwamba kwa kizazi hiki cha sasa ipo siku atasahiisha na watu kumi.mimi kama mdau wa elimu naomba sana ufisadi upungue halafu kwa uasalam wa taifa ushihishaji muone kwamba ndiyo nguzo ya usalama wa nchi yetu
BIG UP dada you deserve kuwa katibu mtendaji,ni moja ya nafasi zilizopata watu makini tanzania,endelea kuwajibu wanasiasa kwa hoja na ushahidi kama ulivyofanya wakati wa matokeo csee 2011.Ifike wakati mambo ya kitaalam waachiwe wataalam, mfano elimu,
Muda wa kuwapongeza bado ndo kwanzaa siku moja imepita na madogo wako cool hawaongelei kabisa paper.siajabu wamebana mwanzo na mwisho au kati wataachia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.