Kudeti Mwanamke Transgender

Kudeti Mwanamke Transgender

Ila duniani bana..nlionaga kipindi mdada kawa mkaka na mkaka kawa mdada..wameoana na wanajijua kama ni matransfer gender..shubaaat!!
Hao wanaume wakawa wanawake wanaweza kuzaa watoto au,sababu nini hasa kujifanya hivyo?
 
Kuna NN mmoja tu, haya turudi kwenye mada - Transwomen uliokutana nao wanakidhidi vigezo vya kuitwa wanawake?

Naam.

Yupo mmoja na katu hajawahi kukanyaga ardhi ya Wichita. Huo ndo ukweli.

Kuhusu hao watu wako, kwa ufahamu wangu sijawahi kukutana nao.

Huwa nawasikia na kuwaona kwenye tivii tu.
 
Kama hawa hapa
Ines_Rau.jpg
Treechada-Petcharat.jpg
Claudia-Charriez.jpg
 
Back
Top Bottom