Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Lakini hata we umebobea,si tunakutana wote huku kwenye mihanjoUmebobea
Lakini hata we umebobea,si tunakutana wote huku kwenye mihanjoUmebobea
Lakini hata we umebobea,si tunakutana wote huku kwenye mihanjo
Hahahha unanionea sasaWala hatujakutana,nmepita nyuzi tofauti km 4 za namna hii nakuta umejikita humo ndani na comment za kutosha
Hahahha unanionea sasa
Hahah na huko kote we unakua unatafuta nini?Mfano:kuna sehem umesema wanaume wa humu wote wanajua kugegeda,sijui wanakutana na wanawake wenye harufu
Jikague tu kwny mambo haya leo upo vzr
Hahah na huko kote we unakua unatafuta nini?
Sawa banaNasoma nyuzi tofauti tu
Swali lako ni gumu sana.Sas kweny mgegedo na wenyew wananyevuka km wanawake au?
Kiongozi.Yani usimgundue wakati unaona kabisa mguu una vigimbi kama viazi mbatata? Thailand wapo sana tu.
Kimuonekano ghafla unaweza usigundue.Lazm ugundue labda uwe na genye sana ushindwe hata kumchunguza
mkuu kama huyo Claudia ukimbamba kitaa unaachaje kumtokeaDadavua mkuu, kwa mfano, hawa hapa chini wana tofauti gani na wanawake wengine hadi useme hatari sana?
20 Beautiful Transgender Women Who Make Your Girlfriend Look Like a Dude
Nini tofauti ya transgender,gay,shemale,bisexual....?
Mi nnavojua hawa wote jina lao ni moja tu nalo ni mashoga yan wanaingiliwa kunyume na maumbile....
Naomba tafasir kama kuna utofaut.
Dadavua mkuu, kwa mfano, hawa hapa chini wana tofauti gani na wanawake wengine hadi useme hatari sana?
20 Beautiful Transgender Women Who Make Your Girlfriend Look Like a Dude
nimecheka eti who make your girlfriend look like a dude.Hahaha ukakuta pu... mzigo wa dhambi huhihi nmecheka sanaNILING'OAGA SHEMALE BILA KUJIJUA
nilikuwa thailand nikaaema mjanja wa kitz ngoja nitimbe kwenye zile red street zao ning'oe japo toto la kithai nipige chata la kitz kabla sijasepa
nipo club napiga kinywaji huku nawinda mara naona totoz simejazia chura huku kifuan kama nikki minaj ..mmoja anajisogeza sikutaka shobo nchi za watu nikasema hapa hadi ajilengeshe mwenyewe
mara paaap akatoa eye gesture fulan hiv kuwa anataka mazungumzo mtoto yuko open sana direct tukajika kwa topic hasa baada ya kujua mimi si mwenyeji wa pale.. akasema ninaweza hata kumlipa kwa $ ila si usiku mzima yan tunaenda room ana nipa full service then kila mtu anasepa... akanipromise mavitu ambayo sitaisahau thai
haoooooo... tupo room foreplay inaanza mara denda mara nabinja boobs heeeeee ile nimeshusha mkono kunako nisikutane na PUMBU mzigo wa dhambi... hapohapo yani nilinywea mgegedo ukawa mdogo kama kibamia asee kijasho kikaanza kuntoka ..nikamwambia am not gay... i cant do this akasema kila kitu kina first time so na mm nijaribu ile iwe first time kwa kweli nilishindwa nikampa hela nikarudi zangu hotelini na mawazo kibao
yani hadi leo mimi thailand napaogopa yani huwez jua demu yupi... shemale yupi... na wale 100% transgender ni yupi..
ila jaman yale mashemale ya thai ni hatar ya sura nzur kifua sasa mamaaaa...bado hujaja tako sema ndo hivyo kila mtu ana imani zake na yangu ilinikataza kufanya ule uchafu..
Si wanasemaga mwanaume aliezoea kukulwa hua hasimamishi,inakuaje kwa hao bisexual waweze kuwakula wadada?1- transgender - mtu aliyebadili jinsia ..kutoa uume na kuweka uke au kutoa uke na kuweka uume plus other sexual characteristics
2- mwanaume anayejihusisha na mapenz ya jinsia moja... yaani anapigwa mgegedo ana yy ndio anayepiga mgegedo mwanaume mwenzake
3- Bisexual huyu navyojua yeye anajihusisha na mapenzi ya aina zote yaani kama ni mwanaume yeye mademu anakula alafu pia analiwa na vidume wenzake.. na inaweza kuwa mwanamke au mwanaume as long as anajihusisha na mapenzi yote ya aina mbili huyo ni bisexual
4-Shemale huyu anakuwa ni (trans half)
yaani anakuwa mwanaume aliyebadilisha primary sexual Xstics kama matiti makalio na ngozi na hata sauti through surgery na sindano za homoni lakini anakuwa bado ana uume... na huu uume kwa wengine huwa bado unafunction vizuri tu...
yaliwahi kunikuta akati nipo thai nilijuta na nilikoma niling'oa malaya wa thai tumefika room nakuta ana mashine usitake kujua mfadhaiko wale ulikuwaje
Inatisha jinsi wanaume mnavopunguaNgoja nipite tuu