Kudeka na Kuringa

If that is the case;

Kudeka; Kuhitaji kufanyiwa mambo (mind human limits please) ambayo hata wewe mwenyewe kwa uwezo wako unaweza kufanya
Kuringa;Kujikubali na kujiona wewe ni bora na hii si lazima kujilinganisha na wengine as hapo huzaa kitu inaitwa madhereu

Akosae na abanjwe ukucha!!
 
HIVI MLIKUWA..WANAUME ..mnajadili MKE WA MSHKAJI WENU..au..mlikuwa wanawake mnamjadili mwanamke mwenzenu???...

just wanna know..coz nadhani kama hoja ni wanaume kumjadili mke wa mshkaji wenu nahisi nyie wanaume mnahitaji kubadilishwa jinsia...na kama ni wanawake mlikuwa mnamjadili mwanamke mwenzenu..hongereni kwa kudumisha mila ya umbea na pia naamini mlikuwa kibaraza cha uani kuleee jikoni mnakopika kwa mkaa mkitupia vijineno vyenu kama haloooo .. halooo ya muhogooo...jang'ombeeeee, laki si pesa milioni lawama...nini kanga ndembendembe wenzie vichaa wa mirembe kanga haiusikiiii.....

AM OUT.
 
Tulikuwa wanaume watupu.......haya umeridhika?
 
Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno yalinichanganya na wanywaji wale hawakunisaidia kuelewa japo sikuwa nimelewa. Nini tofauti ya hizi hali na madhara yake?

Kuringa ni kujidai, kujiona mbele ya mwenzako eti wewe ni bora au unakitu bora hivyo wengine wapige magoti kwako!

Kudeka mbona si tatizo! Ni kujifanya wa maana sana kwa mtu fulani unaehisi ana haja na wewe au anatumia nguvu zake kukutunza!

Kuna nyimbo moja ya Taarab inayosema "Na kwanini nisideke, nami nadekea vyangu?". Hivyo deko ni jambo ambalo anaedekewa huwa analitafuta mwenyewe!
 
Kuringa na kudeka ni tofauti,kuringa ni kama kujiskia hivi,me napenda kudeka hasa nikiwa mpenzi wangu lakin sio kuringa
 
Zamani ilikuwa tukikaa bar wanaume tunaongea isshu za pesa, kumbe vijana wa siku hizi haya ndio mnayoongelea BAR, kweli hatuna wanaume.....ndio maana nchi inayumba sana............!!!!!!!!!!!!!!!!, ukianzia na baba yao mkuu wa kaya.
 
Mifano ya kudeka ni ipi?
Kwenye lv nafikiri ni pale ambapo may be unahitajika kufanya kitu fulani ambacho una weza kabisa kukifanya ila unakua dizain kama una kata kataa hivi ila utakifanya endapo tuu utabembelezwa,, mwisho wa cku ukimbelezwa ukiingia lain ukakifanya I think ndio kudeka kwenyewe huko ila ukibembelezwa na bado ukagoma kufanya hicho unachotakiwa kufanya hicho kitakua ni kiburi ambacho ni dada yake kuringa..
 
Hmmmm okay
 
what if mumewe anataka mkewe adeke?
what if mumewe anapenda mwanamke mwenye kudeka na kuringa?
binmafsi mwanamke kudeka inani turn on big time.....hata awe kibibi cha miaka sabini lol
 
what if mumewe anataka mkewe adeke?
what if mumewe anapenda mwanamke mwenye kudeka na kuringa?
binmafsi mwanamke kudeka inani turn on big time.....hata awe kibibi cha miaka sabini lol

Tatizo ni sisi watu tuko judgmental sana hata kama hatuna details za kutosha.
 
Jamani nahisi kama hao walikuwa wananisema mimi. Manake mie nimesemwa weeeee. Nadeka, oh naringa. Mie niringe wakati mwisho wa maisha haya mchwa wanakusubiri ardhini ukizikwa? Mie napenda kudeka, na kudeka ninakomaanisha ni kule kuwa pampered na mume wangu nae ananikanda ama ananifanyia some favors that make me happy. Ila Bongo, if u mind ur own business na hutaki kujua ya wengine automatically unaringa. ****!!
 
what if mumewe anataka mkewe adeke?
what if mumewe anapenda mwanamke mwenye kudeka na kuringa?
binmafsi mwanamke kudeka inani turn on big time.....hata awe kibibi cha miaka sabini lol
Mazee utawaweza bina adamu walipo ona twiga na shingo ndefu, wakasema lazima washindane naye ana kula majani ya juu vipi wao wale ya chini wakanza kukwea miti ya madafu.

Walipo ona kiboko yuko kwenye maji wakasema lazima wamtoee majini...wao ndo wakawa wakupiga mbizi afu wakiona kiboko kazama kwenye maji wanamtwanga risasi eti asije wazuru.

Walipo ona tembo ana meno marefu wakasema lazima wayan'goe, eti vipi tembo awe ana meno mawili marefu lazima yatolewe.

Yani mazee hata chui wamemfatilia eti lazima wakamtoe ngozi yake....binadamu hawa wezekani kabisa.

Hebu jiulize swali uliona wapi tembo akamfata binadamu kwenye nyumba yake kumtoa meno, au kiboko kamfata kwenye swiming pool yake, au twiga kashindana nao kula mchicha na matembele....Hata chui hawafati majumbani kwao kuwatoa ngozi binadamu komesha...Yani wao hata binadamu mwenzao wako tayari kummaliza usirogwe kuwa natupesa pesa utajuta.

We si umeona mke wa mtu wanamuonea wivu kwa kukuwa anadekeshwa, kwanini na wao wasiowe wakawadekesha wake zao, mi wivu tu inawasumbua.
 
watu wa ajabu mno
what is wrong with being a fool in love?
Most of pipo wameshakua a fool in lv once ila unfotunately huwa haitokei mara mbili bz it doesn't pay,ukishatendwa thas it,u start play it rough bz thea is nomaly no true lv than the first lv, in other words is fool to be fool twice..
 
kwa upande wangu mimi kudeka ni ishara ya upendo na mapenzi, kuringa kunategemea ni kuringa kwa namna gani, ila KUDEKA HATA MIMI NAPENDA MKE NITAKAYEMPATA AWE ANADEKA DEKA KIDOGO... Ebo!! Kudeka NI ILE HALI YA MTU KUJISIKIA KWA MTU ANAYEMPENDA NA KUONA KWAMBA AKIMWAMBIA KITU AU AKIMWOMBA JAMBO KWA UPENDO HUMFANYIA BILA KUJALI KWAMBA PEKE YAKE ANAWEZA KULIFANYA. I like that jamani and AM LOOKING FOR WIFE OF THIS CHARACTER AND SOME GOOD MORE, KAMA YUPO JUST NIPM. NITAKUCONTACT.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom