Kudeka/ Kudekezwa

mfano wazazi kuacha shughuli zao kuja kukusikiliza
mfano mama aache shughuli zake aje atazame kama nyumba yako ni safi aisafishe...hapo ni kudekezwa

Ooh hapo nimekupata. Tena ukute wewe ni jibaba na midevu yako....aibu tupu!!!!
 
but mimi huwa i have a thing kwa wanawake
wanaopenda kudeka......

kuna mtu humu amewahi ona tangazo la hakielimu kuhusu
msichana anaitwa mikogo ambae amerudishwa shule kwa kukutwa na simu ya mkononi????

nilipenda jinsi alivyowajibu wazazi wake kwa kudeka mno na kubana sauti..
kila nikiliona tangazo lile napoteza netrwork hivi lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom