Kudaaadadadeki! in 3D | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kudaaadadadeki! in 3D

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kibunango, Apr 6, 2012.

 1. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Inakuja karibuni. Pata nafasi ya kuangalia na kusikia mijineno, mijitusi na vituko vyote katika 3D....
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  niaje arifu......kudadadadeki kwenye 3D?? aisee.....nimesikia kuna machizi fulani kitaa wameingia studio kupakua jisongi vision ya kudadadadadeki.....
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,075
  Likes Received: 6,538
  Trophy Points: 280
  Niliona kwenye u tube jana. ni aibu.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Arifu usipime! Yaani kuna sehemu kadhaa ambazo ni za kukata shoka..


  • Kudadeki!
  • Magwanda... Unavaa gwanda hata JKT hujapita!
  • Niwalambe?
  • Kijani
  • Kutishia kujamba wakati una hara.....

  Yaani sio mchezo, big up kwa hao wanaotaka kutoa single... labda inaweza kuwa soundtrack ya Kudadeki in 3D!
   
 5. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,447
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 180
  Nauongezea
  • Sera ya jogoo ......gauni reeefu
  • Ana uchungu ana mimba??
  • ukiona mtu ana kichefu chefu jua tayari TUMESHAMTIA mimba
  • wameshapigwa mimba
  • mnunulie maembe mabovu
  • sasa hivi tunaweka mizani njoo mpime ujauzito wetu msiuharibu
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Sipati picha ile ishara ya vidole viwili hewani katika 3D... eti ni mapacha!
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Na matusi tena? Utakula ban mkuu?
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hayo matusi yapo wapi Mkuu?
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Copyright ya Lusinde hii hapa:
  MATUSI PART I
  LUSINDE
  ©2012

  Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kunukuu, kutafsiri, kurudufu au kuchapisha matusi haya kwa njia yoyote ile bila ya idhini ya Lusinde Mtukanifu.
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah,me niliishia kucheka,yule alipga viroba yule,4 sure
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kudadadeki
   
 12. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Be careful atakuramba wewe
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mimi nimetoa ONYO tu kwa watu wajuwe matusi ya Lusinde yana "Mwenyewe".
  Mimi akinijia kwa matusi ninampa ushindi bila ya kupambana naye.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Apr 7, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  kudadaaaaa-deeeeek
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  Bwahahaaaaaaa bwahaaaaaaaa


   
Loading...