hahahahahahahhah umenikumbusha mbali sana...nshachunguliwa sana tu na kizee kimoja mpaka nastukia nahisi mwaka na zaidi ulipita!Watu wengi wanafanya hii kitu ya kuchungulia watu. Hata watu katika miji ya maghorofa marefu kama vile New York hununua binoculars zenye nguvu kubwa na tena za bei mbaya kwa minajili ya kuchungulia wenzao wanaoishi maghorofani au wale wanaofikia mahotelini ambayo yapo jirani na sehemu zao wanazoishi ambao hufanya mapenzi huko maghorofani bila ya kufunga panzia
Nilipoliona hili kwa mara ya kwanza likizungumziwa katika kipindi kimoja cha TV na wahusika (wachunguliaji) wakikubali kwamba wanafanya shughuli hii nilishangaa sana.