Uwiiii yeleleHiyo ndio hofu yangu, the way alivyo hata kuiona screen ya simu ni shida. Labda nijikwae niangukie miguuni mwake na mikono ikwapue simu yake huku macho yamelenga kwenye mwandiko wake
Nature ya wanawake iliwekelewa na binadamu ambayo ime prove wrongUkishasema ' nature' huwezi kusema tena imeproof wrong labda artificial ndio inaweza kuproof wrong.
Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
Mimi siyo mwalimu wa biology ila nina kidogo uelewa,nilipokua chuo nilijifunza hivyo kwenye saikolojia,utafiti ulifanyika na ikaonyesha kua mwanamke mwenye hormone zilizobalance,hawi driven na mahamu,ila yule mwenye hormone nyingi ambazo sisi wanaume tunazo,huyo hakamatiki na tunashauriwa tuwaepuka kwasababu siyo wavumilivu wa mahamu,hao ndiyo sasa inabidi wawe watoa msaada kwa vijana wa vyuo wanaomaliza halafu wanakosa pesa za kuhonga,wale ambao wake zao wamejifungua,madereva wa masafa,waliofiwa wake n.k.Wanawake wa hivyo mwanaume mwingine akiomba namba unatakiwa umpatie ila mwambie asiseme kua wewe ulimpa hakika atajilia mzigo hadi akimbie mwenyewe,hao wanawake wapo enzi na enzi,ni very helpful kwenye jamii na hutia aibu sana mwanaume asipojua akaoa.Sasa mwalimu wa biology unataka watu wachizike na ugwadu?
Wewe kama mchepukaji utampata tu mchepukaji mwenzio. Hutaki usioe tu.
Hahahaaaa mkuu unatufananisha na mnyama tena? Kwa kweli kuna kitu kikubwa sana kutoka kwenye collabo yenu nimejifunza. Majukumu ya kifamilia na majukumu ya ndoa ni vitu viwili tofauti na mara nyingi wanaume tunahangaikia majukumu ya kifamilia.Wanakushangaa huyu Dingi vipi
Ndo mtenge muda wenu, upate muda wa kukaa na wanao ucheze nao kama ni cartoon muangalie wote sio muda wote bar kama paka
ukioa wa hivyo ndio mzuri maana mnafanana karibia kila kitu. Sasa azuie mahamu kwanini na mumewe upo???Mimi siyo mwalimu wa biology ila nina kidogo uelewa,nilipokua chuo nilijifunza hivyo kwenye saikolojia,utafiti ulifanyika na ikaonyesha kua mwanamke mwenye hormone zilizobalance,hawi driven na mahamu,ila yule mwenye hormone nyingi ambazo sisi wanaume tunazo,huyo hakamatiki na tunashauriwa tuwaepuka kwasababu siyo wavumilivu wa mahamu,hao ndiyo sasa inabidi wawe watoa msaada kwa vijana wa vyuo wanaomaliza halafu wanakosa pesa za kuhonga,wale ambao wake zao wamejifungua,madereva wa masafa,waliofiwa wake n.k.Wanawake wa hivyo mwanaume mwingine akiomba namba unatakiwa umpatie ila mwambie asiseme kua wewe ulimpa hakika atajilia mzigo hadi akimbie mwenyewe,hao wanawake wapo enzi na enzi,ni very helpful kwenye jamii na hutia aibu sana mwanaume asipojua akaoa.
Mlango ufungwe nipo nje? Halafu aamke kunifungulia? Ni kweli kanipa uhuru but not to that extentHawajazoea kukuona muda huu huwa wasikia mama anapokufungulia mlango wao tayari wanakuwa walishalala
Sasa utakuwa wazi mpaka usiku??... sasa watoto wanakushangaa nini baba nanihiìiiMlango ufungwe nipo nje? Halafu aamke kunifungulia? Ni kweli kanipa uhuru but not to that extent
Kizazi kipi unachoongelea,kizazi hikihiki ambacho hata mwanamke kua rais ni ndoto za mchana kweupe,au umedanganywa na mwanamke kuwa makamu wa rais?Nature ya wanawake iliwekelewa na binadamu ambayo ime prove wrong
Jamii ya kizazi cha sasa ni ya umimi hawa angalia mtoto babu bibi wala mama
Kuna wale ambao wanakua yaani na hali yakawaida,hao sio wakuoa,ukioa umeolea masela na watu niliowaoeodhesha hapo,mi nimeshuhudia mavyuoni,yaani kuna wanawake wenzake wakitoka rum tu,unamsogelea unakuka mzigo,na ukimwambia mwingine naye anaenda kula mzigo,yaani hadi kwa jinsi habari zinavyosambaa anapigwa na wanaume wengi kinoma.ukioa wa hivyo ndio mzuri maana mnafanana karibia kila kitu. Sasa azuie mahamu kwanini na mumewe upo???
Hao sio wa kuepuka, yaani ndio mnatakiwa muwakimbilie, si mbasemaga hamu zenu sio za kitoto?
Vichakani kuna raha mfano hakuna yani ukiitwa tu njia nzima kyupi kinaloa tu
Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Ngoja nimuite na chuma cha mjerumani tufanye maombi ya nguvu, huyu shetani jamani mbona hivi lakini!!!
Kizazi kipi unachoongelea,kizazi hikihiki ambacho hata mwanamke kua rais ni ndoto za mchana kweupe,au umedanganywa na mwanamke kuwa makamu wa rais?
Vita yetu sie taratiiiiiibu na akili mingi, si wanatuonaga mazezeta!! Utasikia hawa mwalimu wao kipofu, wakati wanasahau wao ndio walimu wetu.
Shhhhhhhh!! Usiwape siri mama wasijegutuka.
Nipo nyumbani naangalia cartoon, naona watoto wananiangalia halafu wanainama wanacheka. Kicheko chao sijakipenda, sijui wananijadili nini?
Nakuletea huko home uje kunywea hapo hapo. Ili ukinyegeka tu tuyamalize wenyewe. Mashaka yangu ni wewe, namcheki wife hapa namuona yuko busy kwa simu alafu ni full vicheko.
Unalilia dyudyu kwani anayo yeye tu!! Akuu jipatie nawe yako akirudi anakukuta mwepesiiiiiiiii walaa hauna habari, unawasaidia tu watoto homework.
hebu ingia chumbani halafu ita kwa nguvu demii... Isije kuwa ndio wife wako. Mi bado namchunguza espy, wife kakaa tu yupo busy na simu hataki kuangalia cartoon
Huby acha fujo basi, ujue ndio muda wa kujibu tex za mchepuko huu na kutakiana na wanafamilia usiku mwema!!
Hiyo ndio hofu yangu, the way alivyo hata kuiona screen ya simu ni shida. Labda nijikwae niangukie miguuni mwake na mikono ikwapue simu yake huku macho yamelenga kwenye mwandiko wake