Madai yake anafahamu fikra za mkewe! Kuchepuka tunachepuka, Kupika tunapika na huku tupo.Kishapata kimoja mchana, sahivi lazma awe home anapika, Mwanamke anachepuka kwa akili, mjanja kama panya anauma na kuuliza
Mi naamini kuna madada ambao wanajiheshimu,siyo wote wana hulka yakuchepuka kwani kuna kitu kinaitwa hormonal imbalance,mwanamke akiwa na testerone nyingi maranyingi ni vigumu sana kuhimili ashki zake hivyo wanawake wa hivyo wanashauriwa wawe na makazi kwaajili ya wanaume mbalimbali mfano madereva wa masafa,wanaume ambao wake zao wamejifungua hivi karibuni,wanaume ambao wameshindwa kutatua matatizo yao kwenye ndoa,wanaume ambao wako addicted na ununuzi wa wanawake n.k,kwahiyo unachosema yawezekana unaongelea wanawake wenye horminal imbalance.Yaani wewe kama mkeo hachepuki atakuwa anaumwa kifafa.
Nadhani hata vidudu vimepata ganzi, kugongewa inauma mnoWanaume wanachanganyikiwa kumbe mkuki kwa nguruwe kwa mme ni mchungueeeee
Acha matani mkuu. Dyudyu itaingia..taratibu lakini!demi!!!
Hahaaaaa nyie konyooo kweli. Hili colabo lenu. Tume surrender aiseeee!
Wanahitaji deliverance, waombeeUnatakiwa kufanyiwa maombi wewe pamoja na mumeo. Pepo la mauti linawawinda.Mungu akusamehe kwani hujui ulitendalo. Starehe ya muda inaweza kuwaletea maana wote wawili.
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Haaa haaa inabidi tuweke password ngumu tablet maana hii mada ni hatareee imenipa afya tangu jana nashindwa hamia kwingineKishapata kimoja mchana, sahivi lazma awe home anapika, Mwanamke anachepuka kwa akili, mjanja kama panya anauma na kuuliza
Misumari hii balaa..... Misumari hii ya motooo!!!Msijali ndio tumetulia hivyo, na watoto tutalea tu, ila tusiulizane ni wa nani? We leta tu pesa.
Mwanamke dakika 10 za sokoni zinamtosha kuinamishwa, na hivi siku hizi hatuvai vyupi ni kupandisha tu gauni..... Imo Imo Imo nduki home kupika mwepesiii kama karatasi ukinipuliza naanguka
Haaaaaaa! We sikuwezi Walahiii vile. Hio michambo ntaiwezea wapi. Acha tu nikomae na "Comforter In Chief" wangu.Nichukue bana tuyajenge
Nitashukuru ombi langu likikubaliwa
Duuh! ukute watotonwa jiraninwanapiga chabo,watamtania mwanao hadi ajute kuzaliwa nawewe.Mwanamke dakika 10 za sokoni zinamtosha kuinamishwa, na hivi siku hizi hatuvai vyupi ni kupandisha tu gauni..... Imo Imo Imo nduki home kupika mwepesiii kama karatasi ukinipuliza naanguka
Umeona eeeeeee.... Tatatibu tuu mtaelewa ...andjul Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%, Mimi muda mrefu nilishakiri Uponyaji Kupitia "ubatizo wa Moto" kuwekwa kati na Hawa Wabeijing sio jambo jepesi ukaendelea kushupaza shingoI have my testimony kwenye haya Mambo. Mimi kupitia hawa Wabeijing Humu nimejifunza an huwa najifunza sana sana tabia zao an sio siri nakuwa reshaped katika life aspects nyingi tu.
Tuache Ubishi usio na ulazima sio siri tunachangia kwa asilimia nyingi tu kutengeneza tabia mbaya kwa wenzi wetu.
Mimi basiHaaaaaaa! We sikuwezi Walahiii vile. Hio michambo ntaiwezea wapi. Acha tu nikomae na "Comforter In Chief" wangu.
first corrected statement is more accurate than Christmas day!Duh!, mwanamke akiwezeshwa....oh! no sorry!, I meant to say AKICHOKOZWA...lol
Atakayesoma humu atakuwa mlinzi au askari sugu hata bar watapunguza kwenda safari za kushitukiza kama magu ofisini zitahamia nyumbaniNadhani hata vidudu vimepata ganzi, kugongewa inauma mno
Wanaume wenzio muda huu wanapiga mahesabu na kupiga story na watoto zao we uko busy kwenye mkeka kubishana na wanawake, alafu eti mkeo asichepuke!!! Thubutuuuu!unafikiri mke wangu anafikiria kama wewe.
unafikiri kuku wa kisasa.
mda huu unatakiwa uwe unapika na kuwa saidia watoto home work.
uko bizee kubishana na waume zako.
Na kurudi home umenuna marufukuMadai yake anafahamu fikra za mkewe! Kuchepuka tunachepuka, Kupika tunapika na huku tupo.