Kuchepuka raha

Kama mie hata maji simchemshii kila siku kanisani na ibada za walokole zinavyochelewa tamthilia kwa sana nienda kulala ukutani kimya chai na mihogo kimya ili akome
Arudi huku huko auguzwe akipona arudi.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wawe kama wanawake, wakirudi nyumbani wacheke ha ha ha umewapa siri, mwisho tukurudi tu na furaha tupokewe na makofi lol wakijua mtu kaliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukirudi na furaha zako mtu anawaza sijui ndio kaliwa huyu, kumbe una furahia vikoba vyako tu.
 
Unatakiwa kufanyiwa maombi wewe pamoja na mumeo. Pepo la mauti linawawinda.Mungu akusamehe kwani hujui ulitendalo. Starehe ya muda inaweza kuwaletea maana wote wawili.

Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
 
jidanganyeni na mjipe matumaini hizoo tabia mziamishie nyumbani mkitengulia kiuno kwa kipiga msije kulia lia hapa
Mwanamke dakika 10 za sokoni zinamtosha kuinamishwa, na hivi siku hizi hatuvai vyupi ni kupandisha tu gauni..... Imo Imo Imo nduki home kupika mwepesiii kama karatasi ukinipuliza naanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…