Kuchepuka raha

Huna hoja unaingiza visubtopic visivyoeleweka.
Ujumbe ni huu: Ukigongwa lazima ugongewe!
.
.
Nimemalizana na wewe!
 
andjul Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%, Mimi muda mrefu nilishakiri Uponyaji Kupitia "ubatizo wa Moto" kuwekwa kati na Hawa Wabeijing sio jambo jepesi ukaendelea kushupaza shingo
I have my testimony kwenye haya Mambo. Mimi kupitia hawa Wabeijing Humu nimejifunza an huwa najifunza sana sana tabia zao an sio siri nakuwa reshaped katika life aspects nyingi tu.

Tuache Ubishi usio na ulazima sio siri tunachangia kwa asilimia nyingi tu kutengeneza tabia mbaya kwa wenzi wetu.
 
Huna hoja unaingiza visubtopic visivyoeleweka.
Ujumbe ni huu: Ukigongwa lazima ugongewe!
.
.
Nimemalizana na wewe!
Jibu mubashara kabisa naona anataka kupindishapindisha mstari.
 
mkuu hawa wenzetu wamechachamaa kweli, kila ukizunguka hawa hapa
Mkuu hawa Wabeijing wanapeana shift kabisa.
Yaani kata mti panda mti hawataki kabisa tupumue..Ila honestly tunalo lakujinza na wao kwa sehemu wanalo lakurekebisha. Tuyafanye mahusiano yetu kuwa sehemu salama, tukikoseana tuambiane na tusikilizane kumaliza tofauti zilizopo.
 
Hii thread inakimbia balaa.... khaaaa
 
Anyway kuna kitu nimejifunza kwenye hii post,Asante mdada wazungu wanasema never stops learning because life teaches you everyday
 
Asante 100% its true!
 
Mnaanzishaga mada za kutuponda tunatulia tu kusikilizia maumivu maana mengine ni ya ukweli yanachoma kama pasi. Leo hili ni lenu. Na mjifunze kupitia huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…