Kuchepuka raha

Sijawahi kutumia nguvu kutafuta ndoa..tena ilikuja mapema mno. Sijasota kama wengine!
.
.
Na usitake kunitoa nje ya mada. Either mwanamke kasota kuitafuta ndoa au hajasota ndoa ni ndoa tu! Na iheshimiwe na kila mtu! Usiponiheshimu sitakuheshimu habari ndio hiyo. Haombi mtu talaka..tutabanana hapa hapa tupeane raha na karaha!
 
Wewe ni mama wa familia. Kuna haja. Ubarikiwe sana. Hekima na upendo wa mume kwa mke humfanya mke kuwa na furaha na nuru kwenye paji la uso wake, na baraka nyumbani pao ndipo zinapoanzia kutiririka kama chemi chemi na mnacho kitaka kitapatikana maana maombi ni mamoja
 
Kama unataka raha na amani ya maisha usioe mkuu. Ila ndo hivyo huwezi maana jamii imeshasema ni lazima uoe so utakuja tu kuoa!
 
Kweli ni aibu kuwa na mke mzinzi hata mi nakubali maana hata mimi naona aibu kweli mume akiwa mzinzi!
Kama ndivyo,kikubwa nikumrekebisha siyo kumlipizia kwakulala na wanaume hovyo,kwakweli watoto wanakua wanajisikia vibaya sana,hasa mama akiwa analala na watu hovyo,inakua inaumiza sana,sijui lakini kwa jamii nyingine.
 
Mimi mwenyewe nashindwa hata kuwaelewa umeamua kuchepuka sawa nimekuacha kua huru basi na mimi nitafute utamu uko nje wanakua wakali na kuleta hadithi za kutishana.
Tena wasitutishe bwana, wao nani huwa anawatisha!!!
 
Reactions: nao
Kwanza, hongera kwa kuanza maisha mapya. Pili, nakupongeza kwa kuchukua uamuzi sahihi wa kugegedwa nje ya ndoa. Tatu, angalia usije ukapata mimba nje ya ndoa.
 
Not all women were born to be respected mothers,some were born to serve sexual addicted men wherever they are.
 



kama umekubali kubanana ukikanyagwa kaa utulie.


apo nyumbani umefuga kuku umeleta mitetea saba jogoo mmoja..

umeshindwa kuchukua hako kamfano?
 
Nashukuru kwa kunielewa mkuu. Hatupendi haya maisha ya michepuko bali mnatulazimisha kuwa hiyo. Nina amini na hata wanaume wengi wanatambua kabisa kuwa mwanamke akipata upendo, furaha, amani basi familia lazima iwe bora!
.
.
Hatukatai tuna mapungufu yetu makubwa tu lkn yanarekebishika kwa upendo mkitumia ubabe mnabomoa hamjengi!
 
Kama unataka raha na amani ya maisha usioe mkuu. Ila ndo hivyo huwezi maana jamii imeshasema ni lazima uoe so utakuja tu kuoa!
Ntachelewa kuoa kama ndiyo hivi,siwezi nikawa na mwanamke mzinzi,anashusha sana personality na anaaibisha sana ndugu zake hasa wanapoambiwa 'dada yenu yuko gesti au kwenye chumba cha msela anapiga kelele kinoumah'
 
Sasa talaka ya nini? Wewe mbona ulivyoanza kuchepuka hukutoa talaka? Maswala ya talaka yafie uko mbali tuvumiliane tu.

Wewe nenda pata kitu roho napenda wala sitakugasi heshima na adabu tele.nami nikitaka utamu nakimbia masaa yangu mawili matatu napata roho napenda then narudi tuendelee kuijenga familia tatizo liko wapi hapo.
 
Me mume wangu anaijua ID yangu mbona. Ndo kwanza nimemkuta ananiombea mkewe nizidi kuwa amazing
. Sisi kwetu ni mubashara tu kwa kweli
ya wifi yako nimeichungulia, alikuwa anaandika comment ghafla wamemuita mihogo imeletwa sokoni Mwambene, kwa kupenda mihogo kakimbia bila kulog out.
 
mkuu ntafute nkununulie bia.. umesamaraiz maisha ya ndoa za cku hizi ipasavyo, ingekua UE ungepata 'A'
 



endelea kubomoa nyumba kwa mikono yako mwenyewe
 
Kama ndivyo,kikubwa nikumrekebisha siyo kumlipizia kwakulala na wanaume hovyo,kwakweli watoto wanakua wanajisikia vibaya sana,hasa mama akiwa analala na watu hovyo,inakua inaumiza sana,sijui lakini kwa jamii nyingine.

Huwa tunawarekebisha na kuwasamehe tunawasamehe. Mara ya kwanza ya pili ya tatu mpk mara ya kumi bado tunasamehe na hatulipizi.
.
.
Binadamu yoyote ana kikomo cha uvumilivu, umejaribu kumrekebisha zaidi ya miaka mi5 mpk kumi lkn bado ni ile ile na inazidi kuwa mbaya..dharau, matusi, vipigo. Hebu niambie huo uvumilivu wa miaka yote hiyo naupata wapi?
Hata wewe kuna tabia za mke akikufanyia miaka nenda rudi na harekebishiki lazima utamchoka.
.
.
Watoto wanajisikia vibaya...wanajuaje kama mama katoka kuchepuka? Wamama wanajitahidi sana kuficha tabia zao mbaya kwa watoto atafanya kwa kujificha mno ila baba sasa...anaonyesha tabia yake mbaya wazi wazi kwa watoto kama vile kuchelewa kurudi kila siku, ulevi, kumpiga mama na mambo kama hayo. Hivi kweli mnadhani watoto hawaathiriki na hizo tabia zenu?
why tabia zetu ndio ziwaathiri watoto lkn zenu ziwajenge?
Wazazi wote mnatakiwa kubadilika lasivyo kizazi kijacho kitakuwa balaa...halafu mtalalamika watoto wa siku hizi hawana adabu kumbe mienendo yenu wote wawili imewaathiri watoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…