Msitafute visingizio, tutafukunyua tu.Utumie muda adimu wa ndoa yako kufurahia na familia yako badala ya kuhangaika na majibu na maswali ya wapita njia mitaani. Hata siku sms imekosewa namba inasema mwanao huku ananisumbua darling, inaweza kuwa ndio mwanzo wa kuporomoka kwa hiyo ndoa.
Eti ni mume huyo kabisaaa. Imbombo ngafu.Hehe kama nakuona. Ila inasikitisha
Ha ha ha heshima gani ndugu? Wanandoa wasipoheshimiana hakuna heshima yoyote mtakuwa mnajidanganya mbele za watu lakini mbele za mungu na ndani ya mioyo yenu mnajua kabisa hapa hakuna ndoa.Hakuna mwanaume malaya Bali kuna wanawake Malaya take care
Heshima ya mwanamke n ndoa.
Hapa umenena haswaaaa..., Evelyn SaltHuyu mwanamke wa kumfungasha karne hii sijui anafanana vipi.....
Familia nyingi zina baba picha tu msosi mama ada mama, kodi mama baba umening'iniza kadudu afu wasema utafumfungasha??? Unachekesha
Aah kupenda gani matusi huko, afu siku akija kukupa anakuambukiza juu
Weee, cumming is so important, but only with your one n' only. Bila hiyo kitu hata kazi haziendi, mwenzako miezi tisa kidogo awehukeNi ubatili mtupu, Cumming is so overrated. Vitulizeni tu kwa wake zenu, nje mnatafuta tu mabalaa
Mume anaechepuka yeye alichelewa ndoa?yyaah hilo ndo tunaloweza kumwambia kwa sasa...ila sijui alitumwa na nani kuwahi ndoa..watu wengne bwanah ..kwani uliambiwa lazima kuolewaaa??
Haha nilimaanisha huko huko nje. Kwamba unajiendekeza kuchepuka kisa mkojo tu, ukimaliza unabeba majuto yakoWeee, cumming is so important, but only with your one n' only. Bila hiyo kitu hata kazi haziendi, mwenzako miezi tisa kidogo awehuke
Huyu alifanyaje jamani? RIPWakati tunaendelea kupongezana kuhusu cheating, wale wanaoamini katika kuombea marehemu apunguziwe adhabu wasimsahau huyu mrembo, pretty lady daaah!!
Uniite tumtengenezee viagra asilia kidudu chake kivimbe siku 4 alafu hakuna kutoka ndani wala kupewa, nawe unambania kidudu chako aone raha yake.
Hao sio wa kwanza kufumaniwa na bado michepuko haiishi.Wenzenu jana wamechomwa moto huko,washatembea mbele,cku yakiwafika hamtoamini ila ndio itakua ni hivyo.
Wanaume tukiwagundua wanachepuka tuwachome moto haraka sana.Umejifunza nini Kwa Tukio La Arusha la Fumanizi
Hao sio wa kwanza kufumaniwa na bado michepuko haiishi.
#HatuteteiMichepuko#
Mtanyooka tuHao sio wa kwanza kufumaniwa na bado michepuko haiishi.
#HatuteteiMichepuko#
Cases za hivi zipo nyingi sana my dear, ni vile watu hawaongei tu. Wanaume wanajitia wana nguvu sanaa wanaweza hata kumiliki wanawake 10, ila ukweli ni kwamba hizo nguvu hawanaaaaa!! Ni kujitoa ufahamu tu, ndio maana wakichepuka tu lazima huduma nyumbani zilegelege.Kumbe hizi case nyingi hivi!, Pole sana dada.
Yaani kuna mijanawanaume Koooonyo! 🙁