Kuchepuka raha

Kaazi kweli kweli
 
You see!!!!
Wazee walikua wanaprovide kila kitu kwa wake zao, leo sasa mwanaume ukiombwa buku tu kudadeki hadi paka wa mtaa watajua
Thread zenu humu kila siku mnalalamika kuombwa hela hela zenyewe vijisenti, mnataka tuwe kama mama zetu bibi zetu wakati nyi hampo kama hao baba na babuu zetu
 
Kwani mkeo ni dada yako? Mwili mmoja huo. Muache akorokochoe kila mahali, na maswali yake umjibu vizuri tu tena kwa adabu.
 
Wakaoe bibi zao watupunguzie bugudha.
 
hehehehehe mbona wewe nimekukubalia kirahisi tu, mimi kwangu inakuwa ngumu kukubaliwa.. hahaha
Una mpango gani kwani? Hebu useme vizuri, lile jibu lilikuwa na lengo ngani? Au unataka tuanze kukuombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…