Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Uctake kushindana na mwanaume, mbon me nafinyika nje huko kusaka mtonyo wee upog tu, unanisubir utaanzaje kujilinganisha na mwanaume, ata mngu mwenyewe anasema .Mwanaume ni msimamiz wa mwanamke
Hujawaona wake za watu wanafinyika maofisini na wengine wafanyabiashara? Wote tunaweka mkate mezani hatuna tofauti. Na bado majukumu yote ya nyumbani ni mke anafanya au kusimamia.
.
.
Nilichotofautiana na wewe ni hapo chini ya kiuno basi.
Kama mke najua wajibu wangu, ukitibua na hurekebishiki madhara ni makubwa. Wewe mwanaume ni kichwa cha familia..mienendo yako ndio inayomjenga mke bora!
 
Mwanamke akifinyika, pesa ake c itaishia saloon na vigaun , akinunua msos utasimangwa mpaka ushangae. tofauti c chin ya kiuno tu! Mbon tofauti nying tu wee una ndevu alafu kumbuka me namko**lea mwanamke kitu ambacho yee hawezi
 
Pesa ya nguo na salon ni wewe unayepaswa kutoa. Usipotoa basi hana namna zaidi ya kutumia za kwake.. na hapo ndipo kuchapiwa kunaelekea! Be responsible...uanaume kazi!
 
Mungu akuepushe vipi nawe unaitafuta ? acheni kufuru.

nyie leteni mashindano tu
Aaah naona sikumalizia comment yangu, Mungu awaepushie wote wasiohangaika. Wanaohangaika awape tu sawa sawa na hitaji lao ila wasiupeleke kwa their innocent partners. (Sema tu Mungu sio HS na tunaishi kwa neema)

Hamna anayeshindana, ila mtu anaona atafute tu faraja kwingine
 
Mmh.. Sala yako ifike na isikilizwe
 
Kwanini Ndugu KORBOTO?
unatuharibia watu huu uzi.., kupata haki sawa bado miaka 100000000

unaua familia za watu huu uzi. nyoooote mnaocoment humu ni mashahidi ni kwa namna gani mama alivyo nguzo kwenye familia, sijui kama mnazingatia nafasi ya mama katika familia na hata ilivyoelezwa katika vitabu vitakatifu vyenu mnavyotumia au mnashadadia tu?

hata kama siyo nyie mnaenda kufanya hivi, hakikisheni maandishi yenu hayapotezi mama za wengine.

Mnashindana na nature?
 
Watu ni vizuri waelewe kuwa kuna matokeo kwa kila jambo. Watu huwa hawakurupuki tu kufanya jambo, there's always a reason behind. Lakini hawa wenzetu sometimes misbehave for no reason. Mdada akichoka ndo yanakuwa haya.
Darasa huru.. Sawaaa na nyie mnawajibu wenu. Punguzeni ubishi.
 
Back
Top Bottom