Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Hivi mtu unaanzaje kuchepuka kwa mwenza wako uliyeahidi mtaishi kwa shida na raha? Sijawah kufikiria kuchepuka nikija kuolewa hata mume wangu akichepuka nitamuombea na kumsemea kwa Mungu ambadilishe.Go for deliverance my sister msamehe na muombee kwa Mungu.Ukiona habadiliki fast and pray..kama akigomaaaaaaaaaaa then divorce (last option and not so gud)...Japo pray for him don't revenge, anaweza akacheat lakn he should be very careful usigundue na yeye ajitahd akupe haki yako ya ndoa sawasawa ili usijiskie vibaya.
GOOD WIFE INDEED.
 
Nakubaliana na wewe though not 100%. Wewe senior bachelor najua unajua kuwa zipo push factors nyingi tuu kwenu na kwetu zinazopelekea hayo kutokea. Kuchoka ni just sababu mojawapo ingawa zipo na nyingine nyingi.
Ni kweli mkuu ila msitufanye tucheat
 
Suprises sio nzuri. Kumbuka unafunga pingu za maisha, hutakiwi kutamani mwanaume mwingine. Usipotest ukakutana na kibamia na wewe unapendelea mtarimbo imekula kwako.
.
.
Accept kibamia at your own risk!
Kwa kweli.
 
Tegemea nisitoke nje endapo tu na wewe hutoki. Mgonga hugongewa!
Uctake kushindana na mwanaume, mbon me nafinyika nje huko kusaka mtonyo wee upog tu, unanisubir utaanzaje kujilinganisha na mwanaume, ata mngu mwenyewe anasema .Mwanaume ni msimamiz wa mwanamke
 
Hamna kisima ni vidogo
Kitaachaje kuwa kidogo wakati hadi tunakutana ushabinjuka na mikuni ya kila aina unakuta mtu kaliwa na majamaa yanakaribia kujaza abood ya Dar-Moro sasa nikimuweka ndani na kibamia changu size ya karot sikitaelea tu ujue tunavumiliana nyie kutunza siri ya ndani..
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Safi, hapo hata mkileteana magonjwa ngoma droo.
 
Back
Top Bottom